Dhaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
infobox , viungo vya nje
d {{sisterlinks}} → {{commons}}
Mstari 18:
 
Miji ilipatikana katika eneo la Dhaka tangu karne ya 7 BK. Kabla ya kuja kwa [[Uislamu]] utamaduni wa eneo lilikuwa la [[Uhindu|Kihindu]] na [[Ubuddha|Kibuddha]].
Wakati wa utawala wa Wa[[moghul]] idadi ya Waislamu iliongezeka. Dhaka ilikuwa na mchanganyiko wa dini hadi [[mgawanyo wa Uhindi wa 1947]] wakati ambapo Wahindu walikimbia au kufukuzwa katika sehemu hii ya nchi si wengi tena waliobaki.
 
1947 Dhaka ilikuwa mji mkuu wa sehemu ya mashariki ya [[Pakistan]]. Baada ya uasi wa [[Pakistan ya Mashariki]] ikawa mji mkuu wa nchi mpya ya Bangladesh.
Mstari 26:
 
{{Mbegu-jio-Asia}}
{{sisterlinksCommons}}
 
[[categoryJamii:Bangladesh]]
[[CategoryJamii:Miji Mikuu Asia]]
 
[[ar:دكا]]