Mtaguso wa kwanza wa Nisea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Byzantinischer Mosaizist um 1000 002.jpg|thumb|225px|Konstantino I akialika maaskofu wafike Nisea kwa mtaguso ([[Hagia Sophia]], [[Istanbul]], mwaka 1000 hivi)]]
[[Picha:Nicaea_icon.jpg|thumb|right|250px|Picha ya Kirusi ya Konstantino I kati ya wanamtaguso wa Nisea: gombo limeandikwa maneno ya [[Kanuni ya Imani ya Nisea]].]]
'''Mtaguso wa kwanza wa Nisea''' ndio [[mtaguso]] wa kwanza kuitwa ([[338]]) [[mtaguso wa kiekumene]], yaani mtaguso wa dunia yote au [[mtaguso mkuu]]. Ndiyo sababu inashika nafasi ya pekee kati ya mitaguso yote.
 
'''Mtaguso wa kwanza wa Nisea''' ndio [[mtaguso]] wa kwanza kuitwa ([[338]]) [[mitaguso ya kiekumene|mtaguso wa kiekumenekiekumeni]], yaani mtaguso wa dunia yote au [[mtaguso mkuu]]. Ndiyo sababu inashika nafasi ya pekee kati ya mitaguso yote.
 
Uliitishwa na kusimamiwa na [[kaisari]] [[Konstantino Mkuu]], aliyehofia mabishano kati ya raia wake Wakristo kuhusu [[Yesu Kristo]], ambayo yalihatarisha umoja na usalama wa [[Dola la Roma]] lililoanza kuelekea kusambaratika. Yeye aliwaalika maaskofu wote wa dola, waliokuwa kama 1000 mashariki na kama 800 magharibi.
Line 8 ⟶ 10:
Asili ya mabishano ilitokea katika [[Kanisa]] la [[Aleksandria]] ([[Misri]]), ambapo [[kasisi]] [[Arios]] alikuwa amekanusha [[umungu]] wa [[Yesu]], na hivyo alihukumiwa na [[Sinodi ya Aleksandria]] ya mwaka [[321]], iliyoitishwa na [[askofu]] [[Aleksanda wa Aleksandria]]. Hata hivyo Arios hakuacha mafundisho yake, akakimbilia [[Palestina]] kwa rafiki yake [[Eusebio wa Nikomedia]].
 
Basi, mtaguso ulikiri karibu kwa kauli moja kwamba [[Yesu Kristo]] ni [[Mwana wa Mungu]] kwa maana ana ''[[ousìa]]'' (yaani ''[[hali]]'') ileile ya Kimungu aliyonayo [[Baba]]. Ndiyo kiini cha [[Kanuni ya imani ya Nisea]] iliyopitishwa na mtaguso.
 
Uamuzi mwingine wa mtaguso ulikuwa kupanga siku ya [[Pasaka]], sherehe kuu ya Kanisa, iwe [[Jumapili]] inayofuata [[mbalamwezi]] ya kwanza ya majira ya [[Springi]], tofauti na [[kalenda ya Kiyahudi]].
 
Mtaguso ulipomalizika tarehe [[25 Julai]] [[325]], Konstantino alifikiri uamuzi juu ya [[dogma]] utamaliza mabishano, lakini haikuwa hivyo.
 
==Viungo vya nje==
 
*[[Eusebio wa Kaisarea]], ''[http://www.ccel.org/ccel/schaff/npnf204.ix.ii.html Letter of Eusebius of Cæsarea to the people of his Diocese]'' Account of the Council of Nicea; ''[http://www.ccel.org/ccel/schaff/npnf201.toc.html The Life of the Blessed Emperor Constantine]'' Book 3, Chapters VI-XXI treat the First Council of Nicaea.
*[[Atanasi wa Aleksandria]], ''[http://ccel.org/fathers2/NPNF2-04/Npnf2-04-33.htm#P3180_1245193 Defence of the Nicene Definition]''; ''[http://ccel.org/fathers2/NPNF2-04/Npnf2-04-68.htm#P7813_3132319 Ad Afros Epistola Synodica]''
*[[Eustazio wa Antiokia]], ''[http://ccel.org/fathers2/NPNF2-03/Npnf2-03-10.htm#P944_169833 Letter recorded in Theodoret H.E. 1.7]''
*[http://www.documentacatholicaomnia.eu/01_10_0325-0325-_Concilium_Nicaenum_I.html Hati zote za mtaguso katika lugha mbalimbali]
*[http://www.newadvent.org/cathen/11044a.htm First Council of Nicaea katika [[Catholic Encyclopedia]]]
 
[[Category:Mitaguso]]
 
[[ar:مجمع نيقية]]