Swala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Swala umehamishwa hapa Swara
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Thompson's Gazelle.jpg|thumbnail|280px|Swala tomi]]
'''SwalaSwara''' ni [[mnyama]] katika jamii ya wanyama walao [[nyasi]]. Hupatikana katika maeneo yeye nyasi fupi fupi na vichaka vifupi fupi hasa kwenye maeneo mengi ya hifadhi katika Afrika, mnyama huyu hukimbia kilometa 80 kwa saa na anao uwezo wa kuruka mita 7 hadi 8 juu akiwa kwenye kasi. Rangi yake ni ya udongo na njeupe kidogo kwenye koromeo na sehemu ya chini ya mkia. Maadui zake wakubwa ni [[simba]], [[chatu]] na [[chui]].
 
{{mbegu}}