Eukaryota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-biolojia
d roboti Nyongeza: az:Eukariot Badiliko: uk:Ядерні; cosmetic changes
Mstari 1:
[[FilePicha:Eukaryota diversity 2.jpg|thumb|250px|Vyote Eukaryota!]]
'''Eukaryota''' ni kundi kubwa la viumbehai ambavyo vina [[seli]] zenye [[kiini cha seli]] na [[utando wa seli]]. [[Mimea]], [[wanyama]] na [[fungi]] wote tunaoona huhesabiwa humo.
 
Mstari 6:
Eukaryota walio wengi wana seli nyingi lakini hasa [[protisti]] na sehemu za fungi zina seli moja tu.
 
== Mfumo wa seli ==
[[ImagePicha:Biological cell.svg|thumb|left|Seli ya mnyama]]
Seli za eukaryoti ni kubwa kuliko seli za bakteria na archaea. Ndani ya seli zao kuna [[oganeli]] ambazo ni kama viungo vya mwili lakini vina shughuli maalumu ndani ya seli.
 
Oganeli inayojulikana zaidi ni kiini cha seli inayotunza sehemu kubwa ya [[DNA]] yake.
 
Seli za eukaryota huwa pia na kitu kinachofanana na kiunzi cha mifupa kwenye mwili kinachojengwa kwa vimirija vya protini za pekee ambazo ni gumu kiasi kuliko ektoplasma inayojaza seli.
Kimsingi seli za eukaryota huwa na
Mstari 22:
{{mbegu-biolojia}}
 
[[CategoryJamii:Biolojia]]
 
[[af:Eukariote]]
Mstari 28:
[[ar:حقيقيات النوى]]
[[ast:Eukaryota]]
[[az:Eukariot]]
[[bg:Еукариоти]]
[[bs:Eukarioti]]
Line 85 ⟶ 86:
[[tl:Eukaryote]]
[[tr:Ökaryot]]
[[uk:Домен Ядерні]]
[[ur:حقیقی المرکزیہ]]
[[vi:Sinh vật nhân chuẩn]]