Ibn Battuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tt:Ибн Баттута
d roboti Nyongeza: an:Ibn Battuta; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:IbnBattuta.jpg|right|220px|]]
'''Abu Abdullah Muhammad Ibn Battuta''' ([[Kar.]]: أبو عبد الله محمد بن بطوطة) alikuwa msafiri, mpelezi na mtaalamu Mwarabu wa [[karne ya 14]]. Kwa usafiri mgumu wa siku zile alitemebelea nchi na kuvuka umbali mkubwa kushinda mtu yeyote wa siku zile anayejulikana. Kutoka kwake tunayo taarifa ya kwanza kuhusu mji wa [[Kilwa Kisiwani]].
 
Alizaliwa mnamo [[24 Februari]], [[1304]] mjini [[Tanger]] ([[Moroko]]). Mwaka 1325 alihiji kwenda [[Makka]] na baada ya [[hajj]] hakurudi bali aliendelea kusafiri. Alitembelea karibu nchi zote zilizokaliwa na Waislamu. Kwa jumla laisafiri kwa miaka 30 akivuka umbali wa karibu 120,000 km (hii ni kama kuzunguka dunia yote mara tatu).
 
Habari zake zimepatikana katika taarifa yake aliyoiandika mwenyewe.
Mstari 11:
 
Baada ya kupumzika Makka alikata shauri kuona himaya ya Sultan wa [[Delhi]] ([[Uhindi]]).
Aliamua kujaribu njia kupita Uturuki kwa sababu alisikia ya kwamba palikuwa na misafara kati ya Waturuki [[Waseldjuki]] na Uhindi. Baada ya kuvuka [[Bahari Nyeusi]] alifika katika milki ya [[Kundi la Dhahabu]] akaendelea katika msafara wa [[Khan]] wa nchi. Alipofika mji mkuu [[Astrakhan]] aliombwa na Khan wa Kundi la Dhahabu mwenyewe kumsindikiza mke wake aliyetaka kutemebela nduguye nyumbani kwake [[Konstantinopoli]]. Hivyo Ibn Battuta alifika mara ya kwanza katika nchi nje ya Waislamu.
 
Mwishowe alifika Uhindi alipopew kazi ya [[qadi]] au hakimu. Baada ya miaka kadhaa akatumwa kama mbalozi wa sultani kwenda [[China]]. Akisafiri kwa jahazi alipita nchi na visiwa vya Asia ya Kusini-Magharibi hadi China.
Mstari 22:
 
[[CategoryJamii:Wapelelezi]]
[[CategoryJamii:Watu wa Moroko]]
 
[[an:Ibn Battuta]]
[[ar:ابن بطوطة]]
[[be:Ібн Батута]]