Yugoslavia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pap:Yugoslavia
d roboti Nyongeza: sc:Iugoslàvia; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:SFRYmap.PNG|thumb|Yugoslavia hadi 1991 katika Ulaya]]
'''Yugoslavia''' ''(Jugoslavija na Југославија kwa [[Kikyrili]] "Nchi ya Waslavoni ya Kusini")'' ilikuwa nchi katika [[Ulaya]] kusini mashariki kati ya 1918 na 2003.
 
== Ufalme wa Waserbia, Wakroatia na Waslovenia ==
Ilianzishwa kwa jina la "Ufalme wa Waserbia, Wakroatia na Waslovenia" mwaka [[1918]] baada ya kuporomoka kwa [[Austria-Hungaria]]. Ufalme huu uliunganisha nchi za awali za [[Serbia]] na [[Montenegro]] pamoja na sehemu za Dola la Austria zilizokaliwa na Waslavoni. Tangu 1929 ufalme ulibadilisha jina kuitwa "Ufalme wa Yugoslavia". Tangu mwanzo tatizo mojawapo la nchi ilikuwa uhusiano kati ya mataifa mawili makubwa ndani yale yaani Waserbia na Wakroatia. Ingawa yote mawili ni karibu sana kuna tofauti za historia, dini na utamaduni ziilizosababisha hofu ya kutawaliwa kwa upande mmoja na mwingine.
 
== Vita Kuu ya Pili ya Dunia ==
Wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] Yugoslavia ilivamiwa na jeshi la [[Ujerumani]]. Wapinzani mbalimbali walichukua silaha kupinga wavamizi. Kati ya vikundi hivi wanamigambo [[Ukomunisti|Wakomunisti]] chini ya [[Josip Broz Tito]] wakafaulu kuliko jeshi la msituni wa mfalme. Baada ya mwisho wa vita [[1945]] kundi la Tito lilichukua utawala.
[[ImagePicha:Flag of SFR Yugoslavia.svg|thumb|Bendera ya Yugoslavia tangu 1946]]
== Shirikisho la Jamhuri ya Watu wa Yugoslavia ==
[[ImagePicha:SFRYugoslaviaNumbered.png|thumb|250px|Majimbo au jamhuri za Yugoslavia kabla ya 1991]]
Katiba mpya ya [[1946]] iliunda Yugoslavia upya kama shirikisho la kisoshalisti. Majimbo 6 zilizoitwa pia "jamhuri" ziliundwa pamoja na mikoa miwili ya kujitawala ndani ya Serbia:
*1. Jamhuri ya kisoshalisti ya [[Bosnia na Herzegovina]] (mji mkuu Sarajevo)
Mstari 25:
Baada ya kifo cha Tito umoja wa Yugoslavia ulidhoofika. Mashindano kati ya mataifa ndani ya nchi yaliongezeka.
 
== Mwisho wa Yuguslavia ==
1991 Kroatia, Slovenia na Masedonia zilichukua hatua ya kutoka nje ya shirikisho na kujitangaza kuwa nchi huru za pekee. 1992 jimbo la Bosnia na Herzegovina likafuata na kutoka nje.
 
Mstari 32:
Mwaka 2006 hata umoja uliobaki kati ya Serbia na Montenegro ulifutwa na kila nchi imeendelea pekee yake.
 
[[CategoryJamii:Ulaya]]
[[CategoryJamii:Nchi ya Kihistoria ya Ulaya]]
 
[[af:Joegoslawië]]
Mstari 87:
[[ro:Iugoslavia]]
[[ru:Югославия]]
[[sc:Iugoslàvia]]
[[scn:Jugoslavia]]
[[sh:Jugoslavija]]