Veracruz (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Flag of Veracruz State (state).pngsvg|thumb|Bendera ya Veracruz]]
[[image:Mexico map, MX-VER.svg|thumb|Mahali pa Veracruz katika [[Mexiko]]]]
'''Veracruz''' (jina rasmi: ''Veracruz de Ignacio de la Llave'') ni moja kati ya majimbo ya [[Mexiko]] upande wa mashariki ya nchi. Upande wa mashariki ni maji ya [[Ghuba ya Meksiko]]. Mji mkuu ni [[Xalapa]] na mji mkubwa ni [[Veracruz, Veracruz|Veracruz]].