Latitudo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: scn:Latitùdini
d roboti Nyongeza: tl:Latitud; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:WorldMapLongLat-eq-circles-tropics-non.png|thumb|300px|Ramani ya dunia inayoonyesha mistari ya longitudo na latitudo]]
 
'''Latitudo''' ''([[kilatini]]: latitudo)'' ni njia ya kuonyesha mahali duniani kwa kutaja umbali wake kutoka [[ikweta]] kwa kipimo cha digrii ('''°'''). Mahali kwenye ikweta kamili (kwa mfano [[Nanyuki]] katika [[Kenya]]) ina latitudo ya "0". Mahali pa mbali ni [[ncha ya kaskazini]] au ya kusini zinazotajwa kwa 90°. Pamoja na kipimo cha [[longitudo]] inataja mahali kamili duniani.
 
Latitudo za kaskazini na kusini ya ikweta zinatofautishwa ama kwa kuongeza herufi "N" (=north) na "S" (south) au kwa alama za "+" (kaskazini) na "-" (kusini).
 
Digrii za latitudo hugawiwa katika umbali wa 60 [[dakika]] au minuti; dakika ya latitudo ni mita 1852 au maili moja ya kibahari. Dakika hugawiwa katika [[nukta]] au sekondi. Mfano: 13°19.717′ N.
 
 
 
[[CategoryJamii:Jiografia]]
[[CategoryJamii:Vipimo]]
 
[[af:Breedtegraad]]
Mstari 76:
[[te:రేఖాంశం]]
[[th:ละติจูด]]
[[tl:Latitud]]
[[tr:Enlem]]
[[uk:Широта]]