Kim Tae Jung : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ro:Kim Dae-jung
d roboti Nyongeza: lb:Kim Dae-jung; cosmetic changes
Mstari 1:
[[Picha:Kim Dae-jung (Cropped).png|thumb|right|250px|Picha ya Rais Kim.]]
'''Kim Dae Jung''' (Kikorea: '''김대중 金大中''') ([[6 Januari]], [[1925]] - [[18 Agosti]], [[2009]]) alikuwa rais wa zamani wa nchi ya [[Korea Kusini]]. Mnamo mwaka wa 2000, amepata '''[[Tuzo ya Nobel|Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''. Huyu ndiye mtu wa kwanza kutoka Korea kupata Tuzo ya Nobel.<ref>[http://www.asianweek.com/2000_10_26/opinion1_kimdaejung.html Kim Dae-Jung] (Short Asian Week biography)</ref>. Yeye ni [[Kanisa Katoliki|Mroma]] tangu mwaka wa 1957, alikuwa kiitwa "[[Nelson Mandela]]" wa [[Asia]] <ref>[http://archives.cnn.com/2001/WORLD/asiapcf/east/06/12/bio.kim.daejung/ Kim Dae-Jung] (Short CNN biography)</ref>. Kim Tae Jung alikuwa rais na aliyekuja kupokelewa na [[Kim Young-sam]] kuanzia mwaka wa 1998 hadi 2003. Alizaliwa mjini [[Haui-do]], Mkoani [[South Jeolla]], kisiwa kilichopo kwenye Pwani ya Korea Kusini.
 
== Marejeo ==
{{marejeo}}
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.nobel.se/peace/laureates/2000/index.html Official Nobel page for Kim]
* [http://www.kdjlibrary.org/ Kim Dae-jung Presidential Library]
Mstari 38:
[[ku:Kim Dae Jung]]
[[la:Kim Daeziung]]
[[lb:Kim Dae-jung]]
[[lt:Kim Dedžiunas]]
[[lv:Kims Tedžuns]]