Louis Armstrong : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hif:Louis Armstrong; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Louis Armstrong NYWTS.jpg|thumb|right|300px|Louis Armstrong]]
'''Louis Armstrong''' ([[4 Agosti]], [[1901]] – [[6 Julai]], [[1971]]) alifahamika zaidi kama [[mwanamuziki]] wa [[Kiamerika]] wa [[Jazz]] na mpuliza [[tarumbeta]] mahiri na aliye machachari.
 
Louis alizaliwa katika jiji la [[New Orleans]], Lousiana, alipewa jina la utani "Satchel Mouth" ambalo baadaye lilikuja kukatishwa kama "Satchmo". Maisha ya Louis utotoni mwake yalikuwa ya shida kwani alitumia muda mwingi bila maana na vijana wa mjini New Orleans. Hii ilitokana na baba yake William Armstrong kuitelekeza familia, hiyo ilimfanya Louis kuishi bila kuwa na baba. Hivyo alilelewa na mama yake Mary Albert Armstrong (1886-1942). Baada ya kufariki Mary, Louis na mdogo wake wa kike aliyeitwa Betrice Armstrong Collins (1903-1987) wakiwa chini ya uangalizi wa bibi yao Josephine, Louis kwanza alianza kujifunza kupiga koneti (hii ni aina ya tarumbeta dogo).
Mstari 10:
 
{{DEFAULTSORT:Armstrong, Louis}}
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1901]]
[[CategoryJamii:Waliofariki 1971]]
[[CategoryJamii:Wanamuziki wa Marekani]]
 
{{Link FA|he}}
Mstari 40:
[[he:לואי ארמסטרונג]]
[[hi:लुईस आर्मस्ट्रांग]]
[[hif:Louis Armstrong]]
[[hr:Louis Armstrong]]
[[hu:Louis Armstrong]]