NSDAP : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pnb:نازی پارٹی
Mstari 1:
[[ImagePicha:Flag of Germany 1933.svg|thumb|Nembo la NSDAP kwneye bendera rasmi ya [[Dola la Ujerumani]] (1933/1934 – 1945)]]
 
'''NSDAP''' ni kifupi cha '''Nationalsozialistische Deutsche Arbeiterpartei''' (Chama cha Kizalendo - Kisoshialisti cha Wafanyakazi Wajerumani) iliyotawala [[Ujerumani]] kuanzia [[30 Januari]] [[1933]] hadi [[8 Mei]] [[1945]] chini ya kiongozi wake [[Adolf Hitler]].
Mstari 7:
Hadi 1923 chama kilikua katika jimbo la [[Bavaria]] lakini hakikuwa na athira kubwa nje ha hapa.
 
== Hitler kama kiongozi wa NSDAP ==
Adolf Hitler alijiunga na DAP mwaka 1919 kwa amri ya wakubwa wake jeshini. Wakati ule Hitler alikuwa bado mwanajeshi na wakubwa wake walitafuta habari juu ya vyama vingi vipya vilivyoundwa Munich baada ya mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Alionekana mara moja kama msemaji bora mwenye uwezo wa kuwahotubia wasikilizaji wake. Hotuba zake ziliwavuta watu wengi na chama kikamtegemea. 1921 Hitler alikuwa mwenyekiti wa chama.
[[ImagePicha:Hitlerjugend.jpg|thumb|300px|Tangazo la Hitlerjugend (Vijana kwa Hitler) lamwonyesha kijana katika sare na Hitler nyuma yake; <br />Maneno yasema: Vijana wamhudumia Kiongozi; wote kuanzia umri wa miaka kumi wajiunge katika Hitlerjugend!]]
1923 NSDAP ilishiriki katika jaribio la mapinduzi ya München lililoshindikana. Chama kikapigwa marufuku na mwenyekiti Hitler akafungwa jela.
 
== Shabaha na itikadi ==
Itikadi ya NSDAP ilikuwa mchanganyiko wa shabaha mbalimbali. Kwa jumla zilikusanywa chini ya kichwa cha "uzalendo". Hii ililenga dhidi ya maadui watatu:
 
Mstari 21:
*Ubebari wa kimataifa iliyotazamiwa ilitaka kukandamiza taifa la Ujerumani.
 
=== Itikati ya [[ubaguzi wa kimbari]] ===
Haya yote yaliunganishwa na itikadi ya kimbari iliyofundisha kuwa watu hutofautiana kutokana na "damu" na kila mbari au rangi ya watu ina uwezo na thamani tofauti. Katika itikadi hii watu weupe wenye damu safi ya Kigermanik walikuwa juu kabisa kama watu wa Skandninavia, Wajerumani na sehemu ya Waingereza. Lakini Waslavoni wa [[Ulaya ya Mashariki]] walitazamiwa kuwa wa ngazi ya chini; Warusi waliitwa "Untermensch" (mwanadamu duni). Watu wenye rangi kama Waafrika mara nyingi walitazamiwa kuwa duni zaidi.
 
Mstari 28:
Kwa njia ya itikadi hii NSDAP ilifaulu kutunza uhusiano na mabepari Wajerumani wazalendo waliotoa misaada mingi kwa chama ikidai ya kwamba maovu ya ubepari yalitokana na Wayahudi tu. Kwa upande mwingine walivuta wafanyakazi waliozoea mapingamizi dhidi ya ubepari kutoka vyama vya kijamaa na wakomunisti.
 
== Kuanza upya 1925 ==
Baada ya kutoka gerezani Hitler aliunda NSDAP upya 1925. Akidharau demokrasia alianzisha muundo wa kijeshi ambako yeye mwenyewe kama kiongozi mkuu wa chama aliteua viongozi wa kimkoa wenye madaraka ya kuteua viongozi wengine wa ngazi za chini.
[[ImagePicha:Hitler Nürnberg 1935.jpg|thumb|300px|Hitler akisalimu maandamano ya chama; mbele ya gari lake wanamigambo ya [[SA]], nyuma yake wa [[SS]]]]
== Vikundi vya Chama ==
Kando la chama vikundi vya pekee viliundwa kama vile
* vikosi vya ulinzi vya [[Sturmabteilung]] (SA) na [[Schutzstaffel]] (SS);
* vikundi vya vijana kama Hitlerjugend (Wavulana kwa Hitler), BDM (wasichana), Umoja wa wanawake wa kizalendo-kisoshalisti, Maungano wa wanafunzi katika NSDAP, Shirika la madereva wa NSDAP na vingi vingine kwa karibu kila kikundi katika jamii. Baada ya mwaka 1933 Wajerumani wengi walipaswa kujiunga na vikundi hivi vya walimu, wakulima, madaktari, wanasheria wenye mwelekeo wa kijamii-kisoshalisti.
 
== Kufanyikiwa tangu 1930 ==
Hadi 1930 chama kilikuwa kikapanua katika maeneo mbalimbali ya Ujerumani lakini hakikufaulu kisiasa kikapata kura chache tu katika chaguzi zote. Uchaguzi wa kitaifa 1928 iliona asilimia 2.6 kwa NSDAP pekee.
 
Mstari 45:
Katika uchaguzi wa [[31 Juli]] [[1932]] NSDAP ilipata asilimia 37,3 % za kura ikawa chama kikubwa bungeni lakini haikuingizwa katika serikali. Rais [[Paul von Hindenburg]] alimdharau Hitler akakataa kumpa madaraka. Uchaguzi wa pili wa 1932 katika Novemba ukaleta kupunguiwa kwa chama kilichoshika 33,1% pekee.
 
== Kuingia serikalini 1933 ==
Lakini serikali mpya ilivunjika tena mwezi wa Januari 1933 na Chansella von Papen alipaswa kutafuta washiriki wapya. Hapa alimwomba rais akubali kuingiza NSDAP serikalini kwa imani ya kwamba wanasiasa wa chama chake watafaulu kumsimamia Hitler na wafuasi wake. Hii ilikuwa kosa kwa sababu Hitler alikuwa tayari kushika madaraka yote na nafasi zote za serikali kwa lengo la kutoziacha tena.
 
Tarehe 30 Januari 1933 Hitler aliapishwa na rais kuwa chansella mpya katika serikali ya ushirikiano.
 
[[ImagePicha:Muundo wa NSDAP.JPG|thumb|450px|Muundo wa NSDAP mnamo 1938]]
 
Uchaguzi wa mwisho katika Ujerumani hadi 1946 ulifanyiwa tar. [[5 Machi]] 1933. Hitler alitumia nafasi ya moto kwenye bunge kupitisha sheria za dharura kwa usalama wa taifa. Kwa msaada wa sheria hii alipiga marufuku chama cha kikomunisti na kuanzisha mateso dhidi ya chama kikubwa cha kijamaa SPD. Uchaguzi ulifanyika kwa hofu upande wa wapinzaniwa Hitler wengi walikamatwa tayari. NSDAP ilipata 44 % za kura ikapaswa kuingia katika serikali ya ushirikiano tena.
 
== Sheria ya kuipa serikali madaraka ya bunge ==
Kwa tishio mbalimbali Hitler alipata kibali cha vyama vya katikati kwa sheria ya kuipa serikali madaraka ya kibunge kwa muda. Sasa aliweza kutangaza sheria bila bunge kwa kibali cha rais tu. Alihitaji theluthi mbili za kura za bunge kwa sheria hii alizipata kwa sababu wabunge wakomunisti walikataliwa kuhudhhuria na sehemu ya wabunge wa SPD walikamatwa tayari.
 
== Chama cha pekee ==
Sheria hii ya kumpa madaraka ilikuwa msingi wa kugeuza Ujerumani kuwa udikteta katika muda wa miezi michache. Rais von Hindenburg alikuwa mzee asiyeelewa tena mabadiliko yaliyotokea. Hitler aliendelea kutangaza sheria za kupiga marufuku vyama vya upinzani. VYama vingine vilijiondoa wenyewe. Sheria ya Desemba 1933 ilitangaza NSDAP kuwa chama cha kisiasa cha pekee katika Ujerumani.
 
Mstari 64:
Sasa chama kilikuwa muhimu sana. Watu wengi walipaswa kuwa wanachama wakitafuta ajira au nafasi mpya za kazi. Viongozi wa chama kwenye ngazi za mikoa, wilaya, miji na vijiji walikuwa na athira kubwa katika maazimio yote ya serikali.
 
=== Uanachama ===
Idadi ya wanachama wa NSDAP iliendelea hivyo:
{| class="prettytable"
Mstari 101:
 
 
== Mwisho ==
NSDAP ilipigwa marufuku na mataifa washindi tar. [[10 Mei]] [[1945]] baada ya mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Nembo la chama ni marufuku katika Ujerumani hadi leo.
 
 
== Viungo vya Nje ==
{{Commons|NSDAP|{{PAGENAME}}}}
*[http://www.mondopolitico.com/library/meinkampf/introduction.htm Hitler's ''Mein Kampf''] (full text)
Mstari 114:
<!-- interwiki -->
 
[[CategoryJamii:Historia ya Ujerumani]]
{{makala nzuri sana}}
{{Link FA|mk}}
Mstari 153:
[[ksh:Nationalsozialistische Deutsche Arbeiterpartei]]
[[ku:NSDAP]]
[[la:NationalisNationalistica SocialisticaSocialisticaque LaboratorumOperariorum Factio Germanica]]
[[lt:Vokietijos nacionalsocialistinė darbininkų partija]]
[[lv:NSDAP]]