Mexico (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[image:Mexico stateflags Estado de Mexico.png|thumb|Bendera ya Mexico]]
[[image:Mexico map, MX-MEX.svg|thumb|Mahali pa Mexico katika [[Mexiko]]]]
'''Mexico (jimbo)''' ni moja kati ya majimbo ya [[Mexiko]] upande wa kati ya nchi. Mji mkuu ni [[Toluca, Mexico (jimbo)|Toluca]] na mji mkubwa ni [[San Cristóbal Ecatepec]].
 
Imepakana na [[Hidalgo (jimbo)|Hidalgo]], [[Querétaro (jimbo)|Querétaro]], [[Tlaxcala (jimbo)|Tlaxcala]], [[Puebla (jimbo)|Puebla]], [[Morelos]], [[Guerrero (jimbo)|Guerrero]] na [[Michoacán]]. Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 14,007,495. Una eneo la 21,355[[Kilomita ya mraba|km²]].
Mstari 11:
== Miji Mikubwa ==
 
# [[San Cristóbal Ecatepec]] (1,688,258)
# [[Ciudad Nezahualcóyotl, Mexico (jimbo)|Ciudad Nezahualcóyotl]] (1,140,528)
# [[Naucalpan, Mexico (jimbo)|Naucalpan]] (792,226)