Quito : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Historia: {{sisterlinks}} → {{commons}}
d roboti Nyongeza: mk:Кито; cosmetic changes
Mstari 13:
 
}}
[[ImagePicha:Quito ChurchSanFrancisco.JPG|200px|thumb|Kanisa la Quito]]
[[ImagePicha:Pichincha desde Itchimbia.jpg|thumb|200px|Quito]]
 
'''Quito''' ''(tamka: "kito" - Kihisp. "San Francisco de Quito")'' ni [[mji mkuu]] wa [[Ekuador]]. Mwaka [[2005]] ilikuwa na wakazi 1,865,541. Quito ni mji mkubwa wa pili nchini baada ya [[Guayaquil]].
Mstari 22:
Kuna kiwanja cha ndega na chuo kikuu pamoja na viwanda.
 
== Historia ==
Quito ilikuwa kati ya miji muhimu ya Dola la Inka kabla ya kufika kwa Wahispania. Wakati wa uvamizi wa Wahispania jenerali Rumiñahui wa jeshi la Inka alichoma mji na kuiharibu kabisa kabla ya Wahispania hawakuiteka.
 
Mstari 80:
[[lt:Kitas]]
[[lv:Kito]]
[[mk:Кито]]
[[mr:क्विटो]]
[[ms:Quito]]