Mkoa wa Balıkesir : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox Province TR |kanda=Marmara |jina=Balıkesir |eneo=12.496 |leseni=10 |kodi_ya_eneo=0266******* }} '''Balıkesir''' ni jina la uliopo nchini Uturuki. Mkoa una mistar...'
 
No edit summary
Mstari 6:
|kodi_ya_eneo=0266*******
}}
'''Balıkesir''' ni jina la [[Mikoa ya Uturuki|mkoa]] uliopo nchini [[Uturuki]]. Mkoa una mistari ya pwani mbili, ambao ni [[Bahari ya Marmara]] na [[Bahari ya Aegean|Aegean]]. Mikoa inayopakana na mkoa huuu ni pamoja na [[Mkoa wa Çanakkale|Çanakkale]] kwa upande wa magharibi, [[Mkoa wa İzmir|İzmir]] kusini-magharibi, [[Mkoa wa Manisa|Manisa]] kwa upande a kusini, [[Mkoa wa Kütahya|Kütahya]] kwa upande wa kusini-mashariki, na [[Mkoa wa Bursa|Bursa]] kwa upande wa mashariki. Mji mkuu wake ni [[Balıkesir]].
 
==Wilaya za mkoani hapa==