Flandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: cv:Фландри
No edit summary
Mstari 1:
{{wrapper}}
[[Image:Flanders.png|right|Eneo la Flandria katika Ubelgiji]]
|[[Picha:Flag of Flanders.svg|thumb|Bendera ya Flandria]]
|-
|[[Image:Flanders.png|right|thumb|Eneo la Flandria katika Ubelgiji]]
|}
'''Flandria''' ([[Kiholanzi]]: Vlaanderen) ni jimbo la kaskazini kati ya majimbo matatu ya [[Ubelgiji]]. Lugha rasmi katika mikoa 5 ya jimbo ni [[Kiholanzi]] inayoitwa hapa Kiflaams ingawa ni lugha ileile. Idadi ya wakazi ni milioni 7. Serikali ya Flandria iko [[Brussels]] na mji mkubwa ya Flandria yenyewe ni [[Antwerpen]].