Kwaresima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'thumb|250px|right|Kwaresima ilivyochorwa na [[Pieter Bruegel the Elder mwaka 1559.]] '''Kwaresima''' ni kipindi muhimu cha mwaka wa Kanisa kinachoa...'
 
No edit summary
Mstari 5:
 
Kwaresima yote inaeleweka tu kama maandalizi ya Pasaka. Kwa [[imani]] ya Wakristo, [[fumbo]] hilo la [[kifo]] na [[ufufuko]] wa [[Bwana]] ndilo lengo la maisha yote. Tunapaswa kuishi kwa ajili yake ambaye alikufa akafufuka kwa ajili yetu. Tunapaswa kuishi pamoja naye na ndani yake kwa kuchukua kila siku mwilini mwetu kifo chake ili kushiriki ufufuko wake. Tunapaswa kufia [[dhambi]] ili kuishi maisha mapya yaliyojaa [[upendo]]. Kwa ajili hiyo tunapaswa kujikana na kupoteza maisha yetu nyuma yake ili tuyaokoe kweli. Hayo yote yanafanyika kwa njia ya imani, [[sakramenti]] na matendo kabla hayajatimia kwa kifo chetu (hasa [[kifodini]]) halafu kwa ufufuko wetu.
{{Mwaka wa liturujia}}
 
Kwenye [[sherehe]] ya Pasaka tunatakiwa kutimiza hayo yote vizuri iwezekanavyo: ndiyo maana [[wakatekumeni]] watakaobatizwa usiku wa ufufuko, nasi sote tutakaokula pamoja nao [[Mwanakondoo]] aliyechinjwa, tunajiandaa kwa bidii za pekee katika kulisha imani yetu kwa [[Neno la Mungu]], katika kushiriki [[ibada]] na katika kutekeleza [[toba]]. Hivyo kwa pamoja, ingawa kwa namna tofauti, tunapanda [[Yerusalemu]] pamoja na [[Yesu]] kwa ajili ya Pasaka.