Methodio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Cyril Methodius25K.jpg|thumb|300px|MethodioKyrilo na KyriloMethodio mitume wa Waslavoni]]
 
'''Methodio wa Saloniki''' ([[Kigiriki]]: Μεθόδιος - methodios; kislavoni: Мефодии) * mnamo [[826]] katika mji wa [[ThessalonikiThesaloniki]]; † [[6 Aprili]] [[885]] huko Velehrad [[Moravia]] ([[Ucheki]]) alikuwa [[mmisionari]] wa [[Waslavoni]] wa [[Ulaya]] ya kusini-mashariki katika [[karne ya 9]] [[BK]] akishirikiana pamoja na kaka yake [[Kyrilo wa Saloniki|Kyrilo]].
 
Alizaliwa kwa jina la "Mikaeli" mjini [[ThessalonikiThesaloniki]] au Saloniki katika [[Ugiriki]] ya kaskazini wakati wa enzi za [[Dola la Bizanti]] kama mtoto wa Leontios askari wa kibizantiKibizanti na Maria mke wake Mslavoni.
 
Methodio alijiunga na wamonaki akawa msimamizi wa [[monasteri]].
 
Mnamo mwaka 861 Rastislav mtawala wa Moravia alitafuta njia ya kuimarisha utawala wake kwa kupunguza athira ya majirani wake [[Wafrankoni wa Mashariki]] (au Wajerumani jinsi walivyoitwa baadaye). Wajerumani waliwahi kuleta [[imani]] ya kikristoKikristo Moravia. Ratislav alitaka kuwa na maaskofu na mapadre[[upadri|mapadri]] wasio Wajerumani. Hivyo alimwomba Kaisari wa Bizanti kutuma wamisionari kwake kutoka huko.
 
[[Kaisari]] [[Michael III. Konstantino]] wa [[Konstantinopoli]] alitumwaalituma akinandugu kaka MethodioKyrilo na KyriloMethodio kwa sababu wote wawili walikuwa watu wa kanisaKanisa wenye elimu nzuri wakijua lugha ya Kislavoni tangu utoto.
 
Baadaya ya kifo cha Kyrilo Methodio aliendelea kuwa askofu na mwalimu wa kikristo mwenye athira kubwa katiy a Waslavoni. Tangu 883 alitafsiri [[Biblia]] katika lugha ya [[Kisalvoni]] na kuweka misingi ya liturgia ya KislanoniKislavoni.
 
Anasifiwa kama misionarimmisionari aliyefaulu kuunganisha ujumbe wa [[Ukristo]] na [[utamaduni]] wa Waslavoni.
 
{{DEFAULTSORT:Methodio}}