74,306
edits
d (picha) |
|||
[[Picha:John Fisher (painting).jpg|thumb|right|John Fisher]]
'''John Fisher''' au ''John wa Rochester'' ([[1469]] – [[22 Juni]], [[1535]]) alikuwa [[askofu]] wa [[Kanisa Katoliki]] kule [[Uingereza]].
Pamoja na [[Thomas More]], alimkataa mfalme [[Henry VIII]] aliyejitenga na Kanisa la [[Roma]]. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa.
Mwaka 1935 alitangazwa kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]]. Sikukuu yake ni [[22 Juni]] katika Kanisa Katoliki, na [[6 Julai]] katika Kanisa [[Anglikana]].
{{DEFAULTSORT:Fisher, John}}
[[Category:Waliozaliwa 1469]]
[[Category:Waliofariki 1535]]
[[Category:Watakatifu
[[Category:Maaskofu Wakatoliki
[[Jamii:Wafiadini Wakristo]]
{{mbegu-Mkristo}}
|