Fransisko wa Paola : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ca:Francesc de Paula |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Franziskus von Paola.jpg|thumb|right|200px]]
'''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' (
Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mtakatifu]]. [[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[2 Aprili]] kila mwaka. == Maisha ==
Fransisko alizaliwa kwa [[muujiza]] katika mji wa [[Paola]], mkoa wa [[Kalabria]], [[Italia]], mwaka
Tangu [[utoto]]ni alishika maisha magumu ya [[sala]] na [[toba]] upwekeni.
Alianzisha shirika la watawa wakaa-pweke, ambalo baadaye likawa [[Utawa wa Wadogo Kabisa]], likapata kibali kutoka kwa [[Papa]] mwaka 1506. Pamoja na kuahidi [[mashauri ya Kiinjili]] matatu ya kawaida, wanaahidi pia kuishi daima kama wakati wa [[Kwaresima]].
[[Kanuni]] yake ni ya pekee, ingawa inafuata ile ya [[Ndugu Wadogo]] ikiiongezea malipizi makali ya [[mababu wa jamgwani]].
Kauli-mbiu yake ilikuwa neno "caritas" (kwa [[Kilatini]], "upendo").
Fransisko alikufa mwaka 1507 huko [[Tours]], [[Ufaransa]] alipokuwa ametumwa na Papa.
== Tazama pia ==
Line 14 ⟶ 26:
{{mbegu-Mkristo}}
[[Jamii:Watakatifu
[[Jamii:Waliozaliwa 1416]]
[[Jamii:Waliofariki 1507]]
[[Jamii:Watawa waanzilishi]]
[[Jamii:Waminimi]]
[[ca:Francesc de Paula]]
|