Fransisko wa Paola : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Franziskus von Paola.jpg|thumb|right|200px]]
'''Mtakatifu Fransisko wa Paola''' (kwa [[Kiitalia]] Francesco di [[Paola]]}, [[1416]] – [[1507]]) alikuwa [[mtawa]] nchini [[Italia]].
 
Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mtakatifu]]. [[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[2 Aprili]] kila mwaka.
 
== Maisha ==
Fransisko alizaliwa kwa [[muujiza]] katika mji wa [[Paola]], mkoa wa [[KalabriaCalabria]], [[Italia]], mwaka 1416. Wazazi wake walikuwa wamefikia uzee bila ya kuweza kuzaa, lakini walimuomba [[Fransisko wa Asizi]] na kuweka nadhiri kuwa mtoto wao ataitwa Fransisko. Ndipo walipojaliwa kuzaa.
 
Tangu [[utoto]]ni alishika maisha magumu ya [[sala]] na [[toba]] upwekeni.
Mstari 11:
Alianzisha shirika la watawa wakaa-pweke, ambalo baadaye likawa [[Utawa wa Wadogo Kabisa]], likapata kibali kutoka kwa [[Papa]] mwaka 1506. Pamoja na kuahidi [[mashauri ya Kiinjili]] matatu ya kawaida, wanaahidi pia kuishi daima kama wakati wa [[Kwaresima]].
 
[[Kanuni]] yake ni ya pekee, ingawa inafuata ile ya [[Ndugu Wadogo]] ikiiongezea malipizi makali ya [[mababu wa jamgwanijangwani]].
 
Kauli-mbiu yake ilikuwa neno "caritas" (kwa [[Kilatini]], "upendo").