Tofauti kati ya marekesbisho "Laura Bush"

11 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Nyongeza: gl:Laura Bush; cosmetic changes
(Jamii:Texas)
d (roboti Nyongeza: gl:Laura Bush; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Laura Bush.jpg|thumb|right|195px|Laura Bush.]]
 
'''Laura Bush''' (jina la kuzaliwa: '''Laura Lane Welch''' amezaliwa tar. [[4 Novemba]], [[1946]] mjini [[Midland]], [[Texas]]) ni mke wa rais wa [[Marekani]] Bw. [[George W. Bush]]. Laura ni mtoto pekee wa mzee Harold Bruce Welch (1912-1995) na Jenna Louise Hawkins (aliz. 1919). Laura na George walikutana na kuoana mnamo mwaka wa [[1977]]. Laura ni mama wa [[Barbara Bush]] na [[Jenna Bush]], ambao walizaliwa mapacha mnamo mwaka [[1981]]. Kabla ya kuwa mke wa Rais, Laura alikuwa akifanya kazi ya uwalimu wa shule katika mji wa Dallas na Austin, [[Texas]].
== Viungo vya nje ==
 
*{{cite web|title=Mrs. Laura Bush's Home Page|url=http://www.whitehouse.gov/firstlady/|publisher=whitehouse.gov|accessdate=2007-11-10}}
 
{{DEFAULTSORT:Bush, Laura}}
[[CategoryJamii:Wanawake wa Kwanza wa Marekani]]
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1946]]
[[CategoryJamii:Watu Walio Hai]]
[[Jamii:Texas]]
 
[[fr:Laura Bush]]
[[fy:Laura Lane Bush-Welch]]
[[gl:Laura Bush]]
[[he:לורה בוש]]
[[id:Laura Bush]]
43,978

edits