Louis XIV wa Ufaransa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: war:Louis XIV han Fransya
d roboti Nyongeza: ml:ലൂയി പതിനാലാമൻ Badiliko: bg:Луи XIV; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Louis XIV of France.jpg|thumb|Louis XIV]]
'''Louis XIV''' ([[5 Septemba]] [[1638]]- [[1 Septemba]] [[1715]]) alikuwa mfalme wa [[Ufaransa]] tangu [[14 Mei]] [[1643]] hadi kifo chake.
 
Alikuwa mfalme kwa umri wa miaka minne akakabidhiwa madaraka alipotimiza miaka 21.
 
Louis alilenga kuunganisha mamlaka yote mkononi mwake. Alisimamia shughuli za serikali na mawaziri wote walitakiwa kutoa ripoti moja kwa moja kwake. Alitumia mapato yote ya taifa kama mapato yake mwenyewe akiamua peke yake. Alivunja upinzani wa waungwana na kuimarisha utawala wa serikali kuu katika milki yake. Alijenga uchumi wa nchi na kuendesha siasa ya nje iliyofanya Ufaransa kuwa taifa kiongozi katika Ulaya.
 
Katika siasa ya ndani alimaliza [[Sheria ya Nantes]] ulioruhusu uhuru wa kidini akapiga [[Uprotestanti]] marufuku na kudai watu wote wasali katika kanisa katoliki. Waprotestanti Wafaransa 200,000 waliondoka katika nchi wakikimbia [[Ujerumani]] hasa [[Prussia]] na [[Uingereza]].
 
Alitumia pesa nyingi kwa ujenzi ya majumba ya kifalme hasa jumba kubwa la [[Versailles]]. Alianzisha pia taasisi za sayansi na sanaa. Utamaduni wa Ufaransa ulikuwa kielelezo kwa nchi za Ulaya.
 
Katika vita zake alipanusha milki yake kwa kutwaa maeneo yaliyokuwa chini ya [[Hispania]], [[Ujerumani]] na [[Uholanzi]].
 
Aliacha urithi wa muundo wa utawala ambako mfalme alikuwa sawa na dola na serikali.
 
 
{{mbegu-mtu}}
 
[[CategoryJamii:Watawala wa Ufaransa]]
 
{{Link FA|eo}}
Mstari 30:
[[bat-smg:Liodvėks XIV]]
[[be:Людовік XIV]]
[[bg:Луи XIV (Франция)]]
[[br:Loeiz XIV (Bro-C'hall)]]
[[bs:Luj XIV Francuski]]
Mstari 64:
[[lv:Luijs XIV]]
[[mk:Луј XIV]]
[[ml:ലൂയി പതിനാലാമൻ]]
[[mr:लुई चौदावा, फ्रांस]]
[[ms:Louis XIV dari Perancis]]