The Rolling Stones : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: be:The Rolling Stones
No edit summary
Mstari 5:
Mwanzoni walijaribu kuiga [[blues]] na [[rock and roll]] ya Marekani kwa mfano wanamuziki kama [[Chuck Berry]] na [[Muddy Waters]] lakini baadaye waliendelea kuunda staili yao.
 
Walipendwa sana na vijana duniani wakishindana na kundi la [[The Beatles]].
 
Walifaulu mara ya kwanza 1965 kwa wimbo "The Last Time" na "(I Can't Get No) Satisfaction". Yaliyofuata ni pamoja na "Paint It Black", "Sympathy for the Devil" na "Jumpin' Jack Flash" (1968).