Tofauti kati ya marekesbisho "The Matrix"

32 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
roboti Nyongeza: vi:Ma trận (phim); cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: vi:Ma trận (phim); cosmetic changes)
| muziki = Don Davis
| imehaririwa na = Zach Staenberg
| imesambazwa na = Warner Bros<br />Village Roadshow Pictures
| muda = dk. 136
| imetolewa tar. = [[31 Machi]], [[1999]]
| nchi = [[Marekani]]<br />[[Kanada]]
| lugha = [[Kiingereza]]
}}
Filamu ilitolewa rasmi mnamo tarehe [[31 Machi]] ya mwaka wa 1999 katika nchi ya [[Marekani]], na ni toleo la kwanza kutoka katika mfululizo wa filamu za Matrix. Filamu imepokea [[Academy Awards|Tuzo nne za Academy]].
 
== Njama ==
=== Muhtasari wa filamu ===
Mtu mmoja aitwaye Morpheus ([[Laurence Fishburne]]) anamwonyesha Neo Matrix ni kitu gani. Matrix ni program ya [[kompyuta]] ambao ni dunia ya uongo. Program hiyo ya kompyuta inawafanya watu kufikiria kwamba wanaishi katika dunia ya ukweli. Mashine imetengeneza program ya Matrix.
 
Mwanamke huyo jina lake ni Trinity. Trinity anafahamu kuwa Neo anaona kama maajabu juu ya mambo yale yaliyotokea kwa muda ule. Mwanamke huyo akamweleza Neo kwamba Matrix wanamsaka vibaya mno.
 
=== Siku iliyofuata ===
Neo akiwa bado anayafanyia kazi yale maelezo aliyoambiwa jana na yule mwanamke, ghafla akaletewa kufurushi ambacho ndani yake kuna simu ya mkononi. Baada ya muda mchache simu ikaita. Aliyepiga simu alikuwa Bw. Morpheus.
 
Morpheus akampa Neo chaguo. Endapo Neo atachukua kidonge cha buluu, inamaana kwamba hamna atakachojua. Na hato jua lolote kuhusu Matrix. Na Neo ataendelea kuishi katika Matrix, lakini atakuwa muda wote yeye hana raha. Na endapo Neo atachukua kidonge chekundu, atatambua ukweli wote kuhusu Matrix. Neo alikibali kula kidonge chekundu, kilichotokea baada ya kula kidonge.....
 
== Washiriki ==
 
[[ImagePicha:Matrix Agents.jpg|thumb|Kutoka kushoto ni: Agent Jones, Agent Smith na Agent Brown.]]
 
* '''[[Keanu Reeves]]''' kacheza kama '''Neo au Thomas A. Anderson'''.
* '''Robert Taylor''' kacheza kama '''Agent Jones''': Agent wa pili wa wana Matrix.
 
== Viungo vya nje ==
* {{imdb title|id=133093|title=The Matrix}}
* {{rotten-tomatoes|id=matrix|title=The Matrix}}
 
{{DEFAULTSORT:Matrix, The}}
[[CategoryJamii:Filamu za 1999]]
[[CategoryJamii:Filamu za Marekani]]
 
[[af:The Matrix]]
[[uk:Матриця (фільм)]]
[[uz:The Matrix]]
[[vi:Ma trận (phim)]]
[[zh:黑客帝国]]
44,078

edits