Visiwa vya Marshall : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ace:Pulo-pulo Marshall
d roboti Nyongeza: hi:मार्शल द्वीपसमूह; cosmetic changes
Mstari 1:
{{Infobox Country
|native_name = Aolepān Aorōkin M̧ajeļ<br />Republic of the Marshall Islands<br />Jamhuri ya Visiwa vya Marshall
|common_name = Marshall Islands
|image_flag = Flag of the Marshall Islands.svg
Mstari 34:
|sovereignty_type = Uhuru
|established_events = kutoka [[Marekani]]
|established_dates = <br />[[21 Oktoba]] [[1986]]
|HDI = --
|HDI_rank = --
Mstari 50:
|footnotes =
}}
[[ImagePicha:RMImap-CIA.jpg|thumb|left|400px]]
'''Visiwa vya Marshall''' ni nchi ya visiwani ya [[Mikronesia]] katika [[Pasifiki]] ya magharibi. Nchi jirani katika bahari ni [[Nauru]], [[Kiribati]], [[Shirikisho la Mikronesia]] na eneo la [[Marekani]] la [[Kisiwa cha Wake]]. [[Atolli]] ya Majuro ina nafasi ya mji mkuu.
 
== Jiografia ==
Eneo la visiwa vya Marshall ni safu mbili za visiwa au atolli zinazoelea sambamba:
* safu ya Ratak upande wa mashariki na
Mstari 60:
Kwa jumla kuna visiwa na vipande vya atolli 1,150 katika eneo la bahari la 1,900,000 km².
 
== Historia ==
Jina limetokana na nahodha Mwingereza John Marshall aliyetembelea eneo hili mwaka 1788 na kulichora katika ramani. Hata hivyo visiwa vilikaliwa tayari tangu karne nyingi na watu kutoka Mikronesia lakini jina la kizungu limebaki kwa ajili ya jumla ya visiwa.
Mwisho wa karne ya 19 Ujerumani ulianzisha ukoloni juu ya visiwa ukaviunganisha kiutawala na [[Guinea Mpya]] yya Kijerumani. Katika vita kuu ya kwanza ya dunia vilitwaliwa na Japani iliyoendelea kutawala visiwa kama eneo lindwa kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]]. Baada ya vita kuu ya pili ya dunia vilikuwa eneo chini ya Marekani.
Mstari 66:
1979 visiwa vimepata madaraka ya kujitawala na kupokea uhuru kufuatana na azimio la [[Umoja wa Mataifa]] [[1990]].
 
=== Majaribio ya kinyuklia ===
Kuanzia 1946 Marekani ilitumia visiwa kwa ajili ya majaribio ya mabomu ya nyuklia. Hadi 1958 ilitokea milipuko 6,913 kwenye atolli za [[Bikini (atolli)|Bikini]] na [[Eniwetok (atolli)|Eniwetok]]. Hadi leo kuna wakazi wa visiwa wanavyoteswa na maradhi yaliyosababishwa na mnurulisho wa mabomu haya. Bikini haitawezekana kukaliwa na watu kabla ya mwaka 2050, Eniwetok haifai kwa makazi ya kibinadamu kwa miaka 24,000 inayokuja.
 
Mstari 73:
{{mbegu-jio}}
 
[[CategoryJamii:Visiwa vya Pasifiki]]
[[CategoryJamii:Visiwa vya Marshall]]
 
[[ace:Pulo-pulo Marshall]]
Mstari 112:
[[gv:Ny h-Ellanyn Varshyl]]
[[he:איי מרשל]]
[[hi:मार्शल द्वीपसमूह]]
[[hr:Maršalovi Otoci]]
[[ht:Machal]]