Timbuktu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: la:Timbuktu |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: lad:Timbuktu; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[
'''Timbuktu''' ([[kifaransa]]: Tombouctou; [[kiarabu]]:
== Kituo cha biashara ya Sahara ==
Timbuktu imejulikana zaidi kutokana na historia yake. Katika [[enzi ya kati]] mji ulikuwa kituo muhimu cha [[biashara ya misafara]] kupitia Sahara na pia kuvuka kanda la [[Sahel]] kusini ya jangwa hadi [[Sudan]] na [[Misri]]. Wakati ule mji uliunganishwa na mto Niger kwa mfereji ulioruhusu mashua ya biashara kufika sokoni moja kwa moja kutoka njia ya maji. Wakati ule mji ulikuwa na wakazi 100,000.
== Utaalamu wa Kiislamu ==
Utajiri wa mji ulisaidia kujenga utamaduni wa kitaalamu. Kuna habari za [[madrasa]] 180 wakati moja. Hadi leo [[chuo kikuu]] cha Sankore ni dalili ya urithi huo kinaendelea kufanya kazi.
Mstari 15:
Timbuktu iliingizwa katika orodha ya [[urithi wa dunia]] ya [[UNESCO]] tangu 1988.
[[
Leo hii ni mji maskini unaotembelewa na watalii wachache wanaotafuta dalili za enzi za kale.
[[
[[
[[Jamii:Mto Niger]]
Mstari 52:
[[ko:통북투]]
[[la:Timbuktu]]
[[lad:Timbuktu]]
[[lt:Timbuktu]]
[[nds:Timbuktu]]
|