Amani ya Westfalia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 1:
[[ImagePicha:Ulaya 1648.PNG|thumb|400px|Ulaya baada ya Amani ya Westfalia 1648; <br />mstari mwekundu: Eneo la Dola Mtakatifu]]
'''Amani ya Westfalia''' ilikuwa mapatano yaliyomaliza [[vita ya miaka 30]] katika [[Ujerumani]] na nchi za jirani. Mapatano yalimalizika katika mikutano kwenye miji ya [[Münster]] na Osnabrück
 
Washiriki katika mapatano ya walikuwa [[Kaisari Ferdinand III]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]], watawala wengine wa madola katika Ujerumani, [[Hispania]], [[ Ufaransa]], [[Uswidi]] na [[Uholanzi]].
 
Kati ya matokeo ya kudumu yalikuwa uhuru wa [[Uswisi]] na Uholanzi zilizohesabiwa awali kama sehemu za Dola Takatifu, mapatano kuhusu uvumilivu kati ya Wakatoliki, Walutheri na Wareformed kama madhehebu makubwa ya Kikristo katika Ujerumani na kupungukiwa kwa madaraka ya [[Kaisari]] lakini kuongezeka za haki za madola madogo ndani ya Ujerumani.
Mstari 9:
 
 
[[CategoryJamii:Historia ya Ulaya]]
[[CategoryJamii:Historia ya Ujerumani]]
[[CategoryJamii:Mikataba ya Kimataifa]]
[[CategoryJamii:Vita]]
 
[[als:Westfälischer Friede]]
Mstari 49:
[[sr:Вестфалски мир]]
[[sv:Westfaliska freden]]
[[th:สัญญาสนธิสัญญาสันติภาพเวสต์ฟาเลีย]]
[[tr:Vestfalya Antlaşması]]
[[uk:Вестфальський мир 1648]]