Malaika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'Malaika ni kiumbe chepesi ambacho kimeumbwa kwa moto nacho hakika yake huwa hakanyagi chini kama mwanadamu, bali huelea juu au kuketi ndani ya moyo wa mwanadamu'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Malaika''' katika [[imani]] ya [[dini]] mbalimbali, kama vile [[Uyahudi]], [[Ukristo]] na [[Uislamu]] ni [[kiumbe]] wa kiroho tu anayeweza kutumwa na [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Malaika ni kiumbe chepesi ambacho kimeumbwa kwa moto nacho hakika yake huwa hakanyagi chini kama mwanadamu, bali huelea juu au kuketi ndani ya moyo wa mwanadamu
 
Kwa [[umbile]] lake hawezi kujulikana kwa [[hisi]] za [[mwili]] wetu.
 
Katika [[Biblia]] watatu tu wanatajwa kwa jina: [[malaika Mikaeli]], [[malaika Gabrieli]] na [[malaika Rafaeli]].
 
MalaikaKatika Uislamu ni kiumbe chepesi ambacho kimeumbwa kwa [[moto]] nacho hakika yake huwa hakanyagi chini kama mwanadamu, bali huelea juu au kuketi ndani ya [[moyo]] wa mwanadamu.
 
[[Jamii:Dini]]