Mwari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: bo:ཁྱུ་དགའ།
d roboti Nyongeza: ms:Burung Undan; cosmetic changes
Mstari 16:
'''Wari''' (pia '''miari''' au '''wali''') ni [[ndege]] wakubwa wa maji wa [[jenasi]] ''[[Pelecanus]]'', jenasi pekee ya [[familia]] [[Pelecanidae]], wenye domo kubwa na rangi nyeupe au kijivu. Ndege hawa huvua samaki kwa kundi. Domo lao la chini ni ngozi inayoweza kunyoka na kuumba mfuko ili kuuwekea samaki kwa kitambo. Huyataga mayai mawili chini au kwa tago la matete na matawi kati ya matete, juu ya mti mrefu au juu ya mwamba wa bahari.
 
== Spishi za Afrika ==
* ''Pelecanus crispus'', [[Mwari wa Ulaya]] ([[w:Dalmatian Pelican|Dalmatian Pelican]])
* ''Pelecanus onocrotalus'', [[Mwari Mweupe]] ([[w:White Pelican|White Pelican]])
* ''Pelecanus rufescens'', [[Mwari Mgongo-pinki]] ([[w:Pink-backed Pelican|Pink-backed Pelican]])
 
== Spishi za mabara mengine ==
*''Pelecanus conspicillatus'' ([[w:Australian Pelican|Australian Pelican]])
*''Pelecanus erythrorhynchos'' ([[w:American White Pelican|American White Pelican]])
Mstari 28:
*''Pelecanus thagus'' ([[w:Peruvian Pelican|Peruvian Pelican]])
 
== Picha ==
<gallery>
Image:2005-11-01 Pelecanus crispus.JPG|Wari wa Ulaya
Mstari 68:
[[lt:Pelikanai]]
[[mn:Хотон]]
[[ms:Burung Undan]]
[[nl:Pelikanen]]
[[nn:Pelikanfamilien]]