Carl Friedrich Gauss : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hif:Carl Friedrich Gauss
d roboti Nyongeza: jbo:karl.fridrix.gaus; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Carl Friedrich Gauss.jpg|thumb|200px|Gauss]]
[[ImagePicha:Gauss Statue.jpg|100px|thumb|Sanamu ya Gauss mjini Braunschweig]]
 
'''Carl Friedrich Gauss (Gauß)''' ([[30 Aprili]] [[1777]] – [[23 Februari]] [[1855]]) alikuwa mtaalamu wa [[hisabati]], [[fizikia]] na [[falaki]] kutoka nchini [[Ujerumani]].
 
== Maisha ==
Alizaliwa mjini [[Braunschweig]] katika Ujerumani ya kaskazini (leo hii jimbo la Saksonia ya chini). Akili zake zilionekana alipokuwa bado moto mdogo. Alipokuwa na umri wa miaka mitatu alimwonyesha babake kosa wakati huyu alipopiga hesabu ya mshahara wake. Mtoto alijifundisha mwenyewe kusoma.
 
Baada ya kuingia katika shule ya msingi alimshtusha mwalimu wake aliyewapa wanafunzi kazi ya kujumlisha namba zote kuanzia 1 hadi 100. Wanafunzi wengine hawakuanza bado kazi Gauss alimwonyesha mwalimu tayari matokeo. Alikuwa alitambua mara moja ya kwamba 100 + 1 = 101, 99 + 2 = 101, 98 + 3 = 101, na jumla ni jozi 50 za namba. Kwa hiyo alipiga 101 * 50 akapata 5050 mara moja. Mwalimu alielewa baada ya muda mdogo ya kwamba mtoto huyu hawezi kujifunza kitu kwake tena akamsaidia kuingia shule ya sekondari mapema.
Mstari 13:
Tangu 1807 alipata cheo cha profesa katika Goettingen akafundisha hisabati na kuwa mkurugenzi wa taasisi ya falaki. Na kazi aliendelea hadi kifo chake mwaka 1855.
 
== Kazi ya kisaysansi ==
Gauss alibuni mambo mengi.
Alikuwa mtu wa kwanza aliyeonyesha jinsi gani kuchora pembekuminasaba. Alitengeneza jedwali inyoonyesha tarehe ya [[Pasaka]] kwa kila mwaka. Alitoa nadharia juu ya [[namba tasa]] inayoonyesha jinsi gani namba tasa zinatawanyawa kati ya namba za kawaida. Mbinu wa namba mraba ndogo ulimsaidia kubuni uenezi kawaida wa mchirizo unaoeleza wastani ya vipimo vinavyotofautiana kiasi. Mbinu huu umekuwa msingi wa [[ueneaji yamkini]] na [[takwimu]] ya kisasa.
Mstari 24:
 
{{BD|1777|1855|Gauss, Karl}}
[[CategoryJamii:Wanahisabati wa Ujerumani|Gauss, Karl]]
 
{{Link FA|hu}}
Mstari 66:
[[it:Carl Friedrich Gauss]]
[[ja:カール・フリードリヒ・ガウス]]
[[jbo:karl.fridrix.gaus]]
[[jv:Karl Friedrich Gauss]]
[[ka:კარლ ფრიდრიხ გაუსი]]