Kufa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: zh:库法
d roboti Badiliko: zh:库费; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Kufa Irak.PNG|thumb|250px|Mahali pa Kufa nchini Irak]]
'''Kufa''' (pia: '''Kofa'''; [[Kar.]] الكوفة ''al-kūfah'') ni mji wa [[Irak]] takriban 170 km kusini ya [[Baghdad]] mwenye wakazi 110,000.
 
Iko 10 km kaskazini ya [[Najaf]] kando la [[mto Frati]]. Kama mahali pa mauti ya [[Imam Ali]] Kufa pamoja na Samarra, Karbala na Najaf ni kati ya miji minne mitakatifu ya Washia nchini Irak.
 
== Historia ==
Mji ulijulikana kwa jina la Surestan katika milki ya [[Uajemi]] wa Kale. Baada ya uvamizi wa Kiislamu mnamo [[637]] palikuwa na kambi kubwa la kijeshi lililoendelea kuwa mji mkuu wa kwanza wa Uislamu. Wanajeshi Waislamu 30,000 walipelekwa hapo kama walowezi. [[Khalifa]] [[Ali ibn Abu Talib]] alipeleka makao makuu yake hapo mwaka 656 akafa mjini mwaka .
 
Mwaka [[749]] [[Waabbasi]] baada ya kupindua [[Wamuawiya]] walifanya Kufa mji mkuu wa [[khilafa]] hadi [[762]] walipohamia [[Baghdad]].
[[ImagePicha:Kufic Quran 7th Cent.jpg|thumb|200px|Kurani kwa mwandiko wa Kikufa, karne ya 8]]
Umuhimu wa Kufa ulipungua kisiasa lakini uliendelea kiutamaduni hadi karne ya 11. Mji ulikuwa kitovu cha theolojia ya Kiislamu na masomo ya Kurani. [[Abu Hanifa]] mwanzilishaji wa mkondo wa maelezo ya [[fiq]] alikuwa mtu wa Kufa. Mtindo wa kwanza wa mwandiko wa Kiarabu huitwa "[[Mwandiko wa Kufa]]" hadi leo.
 
Baada ya karne ya 11 mji uliharibiwa vitani mara kwa mara ukaanza kupungua sana hadi kukua katika karne ya 20.
 
 
[[CategoryJamii:Miji ya Irak]]
[[CategoryJamii:Shia]]
 
[[ar:الكوفة]]
Mstari 46:
[[tr:Kufe]]
[[ur:کوفہ]]
[[zh:库]]