44,163
edits
(ramani) |
Xqbot (majadiliano | michango) d (roboti Badiliko: ko:블룸폰테인; cosmetic changes) |
||
}}
[[
[[
'''Bloemfontein''' (tamka: "Blumfontain" - Kiholanzi/Kiafrikaans "chemchemi ya maua") ni kati ya [[mji mkuu|miji mikuu]] mitatu ya [[Afrika Kusini]] pamoja na [[Pretoria]] na [[Cape Town]]. Jina la Kisotho ni '''Mangaung''' linalomaanisha "kwa duma".
Mji mwenyewe una takriban wakazi 500,000. Kuna mji wa pili pamoja nao wa [[Mangaung]] wa wakazi 650,000 uliojengwa wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi kwa ajili ya watu weusi.
== Tazama pia ==
* [[Chuo Kikuu cha Dola Huru]]
== Viungo vya nje ==
* [http://www.bloemfontein.co.za/ Tovuti rasmi]
[[jv:Bloemfontein]]
[[ka:ბლუმფონტეინი]]
[[ko:
[[la:Bloemfontein]]
[[lij:Bloemfontein]]
|