Historia ya uandishi wa Qurani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Qurani]] Tukufu, kwa mujibu wa [[Uislamu]], imeteremshwa na Mwenyezi [[Mungu]] kupitia [[Jibrili]] mmojawapo wa [[Malaika]] wakubwa wenye heshima kubwa huko mbinguni. Qurani iliteremka kwa njia ya Wahyi au [[Ufunuo]] katika muda wa miaka 23 ya [[utume]] wa [[Muhammad]].
'''Historia ya Uandishi wa [[Qurani]]'''
 
Qurani Tukufu, kwa mujibu wa Waislamu, imeteremshwa na Mwenyezi Mungu kupitia Jibrili mmojawapo wa Malaika wakubwa wenye heshima kubwa huko mbinguni. Qurani iliteremka kwa njia ya Wahyi au Ufunuo katika muda wa miaka 23 ya Utume wa Muhammad. Maneno yote yaliyokuwemoyaliyomo ndani ya Qurani yanadaiwa na Waislamu kuwa ni ya Mwenyezi Mungu na kuwa Muhammad hakuwa akisema maneno haya kwa mujibu wa matamanio yake.
 
Qurani Tukufu ilikuwa ikiteremshwa kidogo kidogokidogokidogo katika muda huuhuO wa miaka 23 kulingana na munasaba mbali mbalimbalimbali wa maisha ya Waislamu wa wakati huo ili kuwafahamisha namna bora ya kuishi ulimwenguni kwa wema na hisani na uhusiano wao baina yao wenyewe kwa wenyewe na baina yao na wasiokuwa Waislamu katika wao.

Aidha, Qurani ilikuwa ikigusia masuala mbali mbalimbalimbali ya maisha na mifano ya umma zilizopita ambazo hazikukubali tume za Mwenyezi Mungu kwao na kuangamizwa kwaozikaangamizwa kwa kupinga na kwenda kinyume na Mitume na Manabii wao.
 
'''Zama za [[Mtume Muhammad]]'''
 
Qurani Tukufu ilipoteremka kwanza iliandikwa, kwa amri ya Mtume Muhammad, kwenye vitambaa, ngozi, mifupa na majiwe. Muhammad alikuwa akiwaelekeza waandishi wake waandike kwa mujibu wa mpango na utaratibu fulani ambao unatokana na Mwenyezi Mungu mwenyewe. Katika wakati

Wakati wa Mtume Muhammad Qurani ilikuwa zaidi katika nyoyo za [[Masahaba]] ambao wengi wao walikuwa wameihifadhi Qurani nzima, na wengi wao walikuwa wakiiandika kwa njia mbali mbalimbalimbali lakini ilikuwa si katika [[msahafu]] mmoja.
 
'''Zama za Abubakar Siddiq'''
 
Katika zama za Abubakar Siddiq, [[Khalifa]] wa Mtume wa kwanza baada ya kufa kwake, alimtuma Zayd bin Thabit kuikusanya Qurani yote katika Kitabukitabu kimoja.

Umar bin Al-Khattab, Khalifa wa pili ndiye aliyemshauri Abubakar kuikusanya Qurani na ijapokuwa mwanzo aliona taabu kufanya jambo ambalo Mtume mwenyewe hakulifanya.

Hatimaye, Abubakar alikubali rai yake na Qurani ikakusanywa katika kitabu kimoja.
 
'''Zama za Uthman bin Affan'''
 
Baada ya Qurani kuandikwa kamili katika msahafu mmoja na kuwekwa katika nyumba ya Hafsa bintbinti Umar, mmoja katika wakezewake wa Mtume Muhammad, ulipofika wakati wa kutawala Uthman bin Affan, Khalifa wa tatu wa Mtume Muhammad, aliamrisha waandishi fulani kuuchukuwakuuchukua huo msahafu na kunukulu nakala nyenginenyingine kwa ajili ya kupeleka sehemu mbali mbali za ulimwengu wa kiislamu ambao kwa wakati huo ulikuwa umekuwa mkubwa sana na kufikia nchi nyingi za [[Afrika]], na [[Asia]] na [[Ulaya]].
 
'''Waandishi wa Qurani Tukufu'''
 
Uthman bin Uffan aliwaamuru waandishi wafuatao kuandika Qurani kutokakutokana na msahafu wa Hafsa na kutawanya nakala hizi katika sehemu mbali mbalimbalimbali za ulimwengu wa kiislamu.:
 
Zayd Ibn Thabit.
Line 26 ⟶ 34:
Abdul-Rahman Ibn Al-Harith Ibn Hisham.
 
Uthman aliweka nuskha moja [[Madina]] na kupeleka nyenginezonyinginezo sehemu nyenginezonyinginezo za ulimwengu wa kiislamu.
 
==Marejeo==