Tofauti kati ya marekesbisho "Auguste Beernaert"

10 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
roboti Nyongeza: la:Augustus Beernaert; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: la:Augustus Beernaert; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[ImagePicha:Auguste Beernaert(03).jpg|thumb|right|Auguste Beernaert]]
{{commons|Auguste Beernaert}}
 
'''Auguste Marie Francois Beernaert''' ([[26 Julai]], [[1829]] – [[6 Oktoba]], [[1912]]) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya [[Ubelgiji]]. Kuanzia 1884 hadi 1894 alikuwa [[Waziri Mkuu]] na [[Waziri wa Fedha]]. Baadaye alikuwa mwakilishi wa Ubelgiji kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa [[The Hague]] mwaka wa 1899 na wa 1907. Mwaka wa [[1909]], pamoja na [[Paul d’Estournelles]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.
 
{{DEFAULTSORT:Beernaert, Auguste}}
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1829]]
[[CategoryJamii:Waliofariki 1912]]
[[CategoryJamii:Wanasiasa wa Ubelgiji]]
[[CategoryJamii:Tuzo ya Nobel ya Amani]]
 
{{mbegu-mwanasiasa}}
[[ko:오귀스트 마리 프랑수아 베르나르트]]
[[ku:Auguste Beernaert]]
[[la:Augustus Beernaert]]
[[nl:Auguste Beernaert]]
[[no:Auguste Beernaert]]
44,101

edits