Karl Urban : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Mwigizaji 2 | picha = KarlUrbanApr09.jpg | maelezo ya picha = Urban katika sherehe za filamu ya ''Star Trek'' mnamo mwezi wa Aprili 2009 | jina la kuzaliwa ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:11, 19 Septemba 2009

Karl-Heinz Urban (amezaliwa tar. 7 Juni, 1972) ni mwigizahu wa filamu kutoka nchini New Zealand. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Éomer katika sehemu ya pili na ya tatu ya mfululizo wa filamu za Peter Jackson ya The Lord of the Rings trilogy, na Dr Leonard McCoy kwenye filamu ya mwaka wa 2009 Star Trek. Amecheza kama Vaako katika The Chronicles of Riddick na mwuaji wa Kirusi Kirill katika filamu ya The Bourne Supremacy, na kupata tuzo kwa ajili ya michakaliko yake ya katika filamu za Kinew Zealand The Price of Milk na Out of the Blue.

Karl Urban

Urban katika sherehe za filamu ya Star Trek mnamo mwezi wa Aprili 2009
Amezaliwa Karl-Heinz Urban
7 Juni 1972 (1972-06-07) (umri 51)
Wellington, New Zealand
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1990–hadi leo

Viungo vya Nje

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: