Isaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d mbegu-Biblia > mbegu-mtu-Biblia
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Andrea Mantegna 010.jpg|thumb|250px|Abrahamu anazuliwaanazuiliwa na [[Mungu]] asimtoe Isaka kama sadaka<br />Uchongaji nawa [[Andrea Mantegna]] kwenye [[altare]] mjini [[Mantua]] (mnamo 1461)]]
'''Isaka''' (kwa [[Kiebrania]] יצחק) ni jina la mwana wa [[Abrahamu]] anayetajwa katika [[Biblia ya Kiebrania]]., Kufuatanaambayo nani habarisehemu za kitabu chaya [[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]] Abrahamuya alimzaa na mke wake [[SaraKikristo]] akiwa mwana wake wa pili baada ya ([[Ismaeli]]Agano aliyemwahila kuzaa na [[HagarKale]]).
 
Habari zake zinapatikana hasa katika kitabu cha [[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]] 21.:1-22,1ff;1 n.k. na 24,;1-28,1ff n.k.
Katika Biblia anatazamiwa kama mrithi halali wa Abrahamu pamoja na kupokea baraka kutokana na agano la Mungu na ukoo wa babake.
 
Kufuatana na habari za kitabu hicho Abrahamu alimzaa na [[mke]] wake [[Sara]] akiwa mwana wake wa pili baada ya [[Ismaeli]] aliyemwahi kuzaa na [[mjakazi]] [[Hagar]].
Isaka alipokuwa mtoto bado aliokolewa na malika kwenye altari alipoelekea kuchinjwa kama sadaka na babake.
 
Katika [[Biblia]] anatazamiwa kama mrithi halali wa Abrahamu pamoja na kupokea [[baraka]] kutokana na [[agano]] la [[Mungu]] na ukoo wa babake.
 
Isaka alipokuwa mtoto bado aliokolewa na malika[[malaika]] kwenye altari[[altare]] alipoelekea kuchinjwa na baba yake kama [[sadaka]] na babake.
 
Alimwoa [[Rebeka]] na kuzaa naye [[mapacha]] [[Esau]] na [[Yakobo]].
 
Alipoaga dunia alizikwa kwenye [[pango la Makhpela]] karibu na mji wa [[Hebron]].
 
Isaka anatajwa pia katika [[Kurani]] ya [[Uislamu]].
 
Habari zinapatikana hasa katika kitabu cha Mwanzo 21.1-22,1ff na 24,1-28,1ff.
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.newadvent.org/cathen/08175a.htm Isaac in Catholic Encyclopedia]
Line 18 ⟶ 23:
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Watu wa Kurani]]
 
[[ace:Ishaq]]