Peter Chanel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Add image from http://tools.wikimedia.de/~emijrp/imagesforbio/
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Peter Chanel.jpg|thumb|right|Peter Chanel]]
'''Mtakatifu Petro Shanel''' ([[12 Julai]], [[1803]] – [[28 Aprili]], [[1841]]) alikuwa padre[[upadri|padri]] Mkatoliki[[mmisionari]] wa [[Kanisa Katoliki]].

Ametambuliwa kuwa [[mtakatifu]] kama [[mfiadini]].

Sikukuu yake ni tarehe [[28 Aprili]].
 
==Maisha==
Petro Shanel alizaliwa mjini [[Cuet]], [[Ufaransa]] mwaka wa 1803.

Baada ya kupata upadre[[upadrisho]] alishughulika na [[uchungaji]] nchini mwake kwa miaka michache.

Halafu aliingia [[Shirika la Maria]], akaenda [[Oceania]] kuhubiri injili[[Injili]].

Licha ya matatizo mengi alifaulu kuwaongoa watu kadhaa. Kwa sababu ya kuchukiwa kwa [[imani]] ya Kikristo[[Ukristo]], alikamatwa na kuuawa kwa kupigwa rungu katika kisiwa cha [[Futuna]], mwaka wa 1841.
 
==Tazama pia==
Line 12 ⟶ 22:
 
{{DEFAULTSORT:Chanel, Peter}}
[[Category:Watakatifu Wakristowa Ufaransa]]
[[Jamii:Watakatifu wa Oceania]]
[[Jamii:Wamisionari]]
[[Category:Waliozaliwa 1803]]
[[Category:Waliofariki 1841]]
 
{{mbegu-mtuMkristo}}
 
[[ca:Pere Chanel]]