Tofauti kati ya marekesbisho "Ansgar Mtakatifu"

60 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
 
== Maisha ==
Ansgar alizaliwa [[Amiens]] ([[Ufaransa]]) mwanzoni mwa [[karne ya 9]].
 
Alisoma katika [[monasteri]] huko [[Corbie]].
Alivumilia magumu mengi sana katika kazi ya [[uenezazi Injili]], lakini hakukata tamaa.
 
Alikufa huko [[Bremen]] (Ujerumani) mwaka 865.
 
== Tazama pia ==
 
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]
[[Jamii:Wamonaki]]
[[Jamii:Wamisionari]]
[[Jamii:Watakatifu wa Ufaransa]]