Daniel Comboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12:
Daniele Comboni alikuwa moja kati ya ndugu wanane, lakini ndugu zake walifariki wote walipokuwa watoto.
 
Daniele aliacha wazazi wake alipokuwa na miaka 12 na alienda [[Verona]] kusoma kwenye shule ya [[upadri|padri]] [[Nicola Mazza]] ambapo alichagua kuwa padri na kwenda [[Afrika]] kama [[mmisionari]].
 
Alifika [[Misri]] na wamisionari wengine watano ([[1857]]). Wote waliendelea hadi kufika [[Sudan]] kusini.
Mstari 18:
Baada ya miaka miwili Daniele alirudi Italia kwa sababu wamisionari wenzake walifariki huko Sudan.
 
Siku moja, alipokuwa akiomba ndani ya [[kanisabasilika la MtakatifuMt. Petro]] mjini [[Roma]] alitafakari kuhusu njia ya kueneza [[Injili]] barani [[Afrika]].
 
Aliandika “Mpango ya Kuirudishia [[Afrika]] Uhai”. Katika mpango huu Comboni alisema ya kwamba ni lazima kusaidia Waafrika kukua katika [[elimu]] ili wenyewe waweze kupanga maendeleo yao.
Mstari 26:
Mwaka [[1877]] alipewa na [[Papa]] [[daraja]] ya [[askofu]] ili kujenga [[Kanisa]] katika [[Afrika ya Kati]] ([[Sudan]], [[Uganda]], [[Kenya]] ya leo).
 
Daniele Comboni aliaga dunia tarehe [[10 Oktoba]] [[1881]].
 
== Viungo vya Nje ==