Dr. Dre : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Jamii:Los Angeles
No edit summary
Mstari 13:
|Miaka ya kazi = 1984–hadi leo
|Studio = [[Epic Records|Epic]], [[Ruthless Records|Ruthless]], [[Priority Records|Priority]], [[Death Row Records|Death Row]], [[Aftermath Entertainment|Aftermath]], [[Interscope]]
|Ameshirikiana na= [[Eazy E]], [[Ice Cube]], [[The D.O.C]], [[Snoop Dogg]], [[N.W.A]], [[Tupac Shakur|2Pac]], [[Eminem]], [[50 Cent]], [[The Game (rapper)|The Game]], [[Shade Sheist]], [[Busta Rhymes]], [[Xzibit]], [[Royce Da 5'9"]], [[Jay-Z]], [[Nas]], [[Blackstreet]], [[Stat Quo]], [[Bishop Lamont]], [[MC Ren]], Obie Trice
|Tovuti = [http://www.dre2001.com Dre2001.com]
}}
Mstari 30:
==Wasifu==
===Maisha ya awali===
Alizaliwa akiwa kama mtoto wa kwanza wa Verna na Theodore Young, Dr. Dre alizaliwa na jina la André Romelle Young mnamo tar. [[18 Februari]], [[1965]], wakati mama yake akiwa na umri wa miaka 16. Ameolewa na baba yake, Theodore Young, baada ya kuzaliwa kwake. Jina lake la kati, "Romelle," linatoka katika jina la Theodore Young, ambalo ni jina la kundi la kuimba muziki wa R&B wa lidhaa, The Romells. Mnamo mwaka wa 1968 mama yake akatarikiwa na Theodore Young na kisha baadaye akaja kuoelewa na Curtis Crayon. Kwa pamoja wakaja kuzaa tena mitoto mitatu, wawili wa kiume Jerome na Tyree (wote wamefariki) na binti mmoja aliyeitwa Shameka.
 
Mnamo mwaka wa 1976 Young akapata kujiunga na shule ya Vanguard Junior High School, lakini kwa kufuatia vurugu, fujo na uhuni uliojaa katika shule ya Vanguard, akahamishwa katika kitongoji kilichosalama kabisa katika shule ya Roosevelt Junior High School.<ref>{{harvnb|Ro|2007|p=9}}</ref> Baadaye Verna akajakuolewa na Warren Griffin, ambaye alikutana naye katika eneo la kazi yake mpya huko Long Beach,<ref>{{harvnb|Ro|2007|p=10}}</ref> ambaye yeye ndiye aliongeza madada wengine watu na mkaka mmoja katika familia. Huyo ndugu wa kiume, Warren Griffin III, ambaye baadaye alikuja kuwa na rapa na kujiita [[Warren G]].<ref>{{Harvnb|Kenyatta|2000|p=14}}</ref>
 
Young alielekeza zake tena katika shule ya Centennial High School ya mjini Compton wakati wa ujana wake mnamo mwaka wa 1979, lakini alihamisha katika shule ya Fremont High School kwa kufuatia viwango vidogo. Young akathubutu kujiandikisha katika kampuni moja iitwayo Northrop Aviation Company kwa mpango wa kujiendeleza kivitendo, lakini viwango vidogo vya shuleni vimefanya awe hafai. Baada ya hapo, akaamua kulenga maisha yake ya kijamii katika masuala ya burudani kwa ajili ya maisha yake ya shule.<ref>{{harvnb|Ro|2007|p=2}}</ref> Young akapata mtoto wa kiume, Curtis, aliyezaliwa tar. [[15 Desemba]], [[1981]], na Lisa Johnson. Curtis Young alilelewa na mama yake na hajaonana na baba yake hadi Curtis alipokuja kuwa rapa akiwa na umri wa miaka 20 hapo baadaye, akiwa na jina la kisanii la Hood Surgeon.<ref>{{harvnb|Ro|2007|p=11}}</ref>
==Muziki==
===Albamu===
{{Main|AlbamuDiskografia na Nyimbo zaya Dr. Dre}} {{Main|Kazi alizotayarishazilizotayarisha na Dr. Dre}}
 
*''[[The Chronic]]'' (1992), [[Death Row Records|Death Row]]