Mkoa wa Lindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Barabara na mawasiliano: mbegu-jio-lindi using AWB
d roboti Nyongeza: sr:Линди (регион); cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Tanzania_Lindi.png|thumb|right|260px|Romani ya Mkoa wa Lindi]]
'''Lindi''' ni jina la mji, wilaya na mkoa wa [[Tanzania]] Kusini-Mashariki.
 
== Eneo la Mkoa wa Lindi ==
'''Mkoa wa Lindi''' umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Mtwara|Mtwara]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]] na [[Morogoro]]. Upande wa mashariki hupakana na [[Bahari Hindi]]. Mkoa huu umeanzishwa mwaka 1971 una eneo la 67,000 [[km²]]. Karibu robo ya eneo lake au 18,000 km² ni sehemu ya [[hifadhi ya wanyama]] ya [[Selous]].
 
Mkoa una wilaya sita za [[Lindi Mjini]] na [[Lindi Vijijini]], [[Wilaya ya Kilwa|Kilwa]], [[Nachingwea]], [[Liwale]] na [[Ruangwa]].
 
Mito mikubwa ndiyo [[Lukuledi]], Matando na Mavuji, yote yaelekea Bahari Hindi. Mwinuko huanza mwambaoni ukipanda hadi mita 500, hakuna milima mirefu sana.
 
== Wakazi ==
Mwaka 2002 idadi ya wakazi ilikuwa 791,306. Karibu asilimia 90 kati hao ndio wakulima. Makabila makubwa zaidi ni hasa [[Wamwera]] halafu [[Wamachinga]] na [[Wamatumbi]] na [[Wangindo]] huko Kilwa.
 
Idadi ya wakazi wa wilaya ni (idadi katika mabano): Kilwa (171,850), Lindi Mjini (41,549), Lindi Vijijini (215,764), Liwale (75,546), Nachingwea (162,081), Ruangwa (124,516),
 
== Hali ya hewa ==
Hali ya hewa ya Lindi ni ya joto mwaka wote ikiwa na wastani kati ya sentigredi 24,5 na 27. Mkoa hupokea kati ya 980 mm na 1200 mm za mvua kwa mwaka, hasa kati ya miezi ya Novemba na Mei.
 
== Barabara na mawasiliano ==
Kuna barabara chache katika hali nzuri. Ndizo 155 km za barabara ya lami na 3567 km barabara za udongo, mara nyingi katika hali mbaya. Wakati wa mvua mara kwa mara njia ya kwenda [[Daressalaam]] imefungwa. Kuna matumaini ya kuboreka kwa mawasiliano na mji mkuu wa Daresalaam tangu kumalizika kwa daraja la Rufiji.
 
Pana kiwanja cha ndege Lindi, Nachingwea na [[Kilwa Masoko]]. Lindi na Kilwa Masoko kuna pia mabandari. Huduma za simu zipata maendeleo kiasi tangu kuanzishwa kwa simu za mkononi.
 
Utalii haujafikia umuhimu sana kutokana na matatizo ya mawasiliano magumu ingawa Lindi ina sehemu mbalimbali zenye uwezo wa kuwavuta watalii: [[Kilwa Kisiwani]] ndicho mji wa kihistoria wa pwani la Afrika ya Mashariki pamoja na magofu ya miji mingine ya [[Waswahili]], Selous ni hifadhi kubwa kabisa katika Afrika, ufukoni wa mchanga ni wa kuvutia sana, nafasi za zamia majini ni tele.
Mstari 40:
[[nl:Lindi (regio)]]
[[pt:Lindi (região)]]
[[sr:Линди (регион)]]
[[sv:Lindi (region)]]
[[tg:Вилояти Линди]]