Jean-Bedel Bokassa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ko:장베델 보카사
d roboti Nyongeza: ro:Jean Bedel Bokassa; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Jean_Bédel_Bokassa.jpg|thumb|200px]]
 
'''Jean Bedel Bokassa''' (* [[22 Februari]] [[1921]] - † [[3 Novemba]] [[1996]]) alikuwa rais na baadaye [[Kaisari]] wa [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]] au baadaye Milki ya Afrika ya Kati hadi kupinduliwa tar. [[21 Septemba]] [[1979]].
Mstari 5:
== Mwanajeshi ==
 
Bokassa alizaliwa Bobangi akajiunga na jeshi la kikoloni la [[Ufaransa]]. Hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] alipanda ngazi akafikia cheo cha afande. Hadi 1961 akawa kepteni. 1964 alitoka katika jeshi la Ufaransa akaingia katika jeshi la jamhuri changa ya Afrika ya Kati. Akiwa ndugu wa rais [[David Dacko]] akaendelea kupanda ngazi hadi kuwa mkuu wa jeshi.
 
== Rais na dikteta ==
Mstari 24:
Ufaransa iliendelea kumsaidia.
 
=== Mapinduzi ===
Wakati wa Januara na Aprili [[1979]] wanafunzi waliandamana. Upinzani huu ulikandamizwa kwa msaada wa jeshi la Kongo. Wanafunzi wengi walikamatwa wengine kupigwa sana na kuuawa. Kwa jumla ni wanafunzi na watoto zaidi ya 100 waliuawa.
 
Mstari 35:
1993 aliachishwa gerezani na rais [[André Kolingba]] akaishi miaka kadhaa akafa 3 Novemba 1996 huko Bangui. Bokassa aliacha wake 17 na watoto 50.
 
[[categoryJamii:Watu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati]]
[[CategoryJamii:Jamhuri ya Afrika ya Kati]]
 
[[af:Jean-Bédel Bokassa]]
Mstari 66:
[[pms:Jean-Bédel Bokassa]]
[[pt:Jean-Bédel Bokassa]]
[[ro:Jean Bedel Bokassa]]
[[ru:Бокасса, Жан-Бедель]]
[[sl:Jean-Bedel Bokassa]]