Medici : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: af:Medici |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: eu:Medici; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[
[[
'''Medici''' ni jina la familia ya [[Firenze]] katika [[Italia]] iliyokuwa muhimu kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni wakati wa karne za 15 na 16 BK. Mapapa watatu wa kanisa katoliki walikuwa Wamedici pamoja na watawala mbalimbali za mji wa Firenze na watoto wao walioa au kuolewa katika familia za wafalme wa Ulaya.
Mstari 8:
Watawala na mapapa Wamedici waliajiri wasanii wengi na kugharamaia pia wataalamu hivyo wakajenga kipindi cha utamaduni wa juu cha Italia kilichong'aa kote [[Ulaya]].
== Wamedici mashuhuri ==
* [[Salvestro de' Medici]] (1331
* [[Giovanni di Bicci de' Medici]] (1360
* [[Cosimo de' Medici|Cosimo Mzee]] (1389
* [[Lorenzo de' Medici]] (1449
* Giovanni de' Medici (1475
* Giulio de' Medici (1478
* [[Cosimo I de' Medici]] (1519
* [[Catherine de' Medici]] (1519
* Alessandro Ottaviano de' Medici (1535
* [[Marie de' Medici]] (1575
* [[Anna Maria Luisa de' Medici]] (1667
== Viungo vya Nje ==
* [http://tuscany-toscana.info/history_of_the_medici_family.htm Outline of the history of the Medici family]
* [http://tuscany-toscana.info/medici_manuscript.htm Genealogical manuscript on the house of the Medici]
Mstari 29:
* [http://www.medici.org Medici Archive Project]
[[
{{mbegu-mtu}}
Mstari 48:
[[es:Médici]]
[[et:Medici]]
[[eu:Medici]]
[[fa:خاندان مدیچی]]
[[fi:Medici]]
|