Wikipedia:Makala zinazolindwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 273:
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
 
-----2.-----
 
2. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na ya kundi Takatifu la Malaika Kerubim, Bwana atuwezeshe kuacha njia mbaya na kuenenda katika njia ya ukamilifu wa ki Kristu. Amina
 
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
 
------3----
 
 
3. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na ya kundi Takatifu la Malaika wenye Enzi, Bwana atujalie roho ya unyofu na unyenyekevu wa kweli. Amina.
 
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
Line 343 ⟶ 342:
 
Ee Mungu Mwenyezi na wa Milele, Kwa wema na huruma Yako ya ajaba, umetaka watu wote waokoke, ukamweka Malaika Mikaeli kuwa Mkuu wa Kanisa Lako. Utukinge na adui zetu, wasitusumbue saa ya kufa kwetu, bali tuongozwe naye kwenye utukufu wako Mkuu. Tunaomba kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amina
 
 
 
== '''NOVENA KWA MT. MIKAELI''' ==