Melanesia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ace:Melanesia
d roboti Nyongeza: sl:Melanezija; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Melanesia.png|thumb|right|Mahali pa Melanesia katika Pasifiki kaskazini ya Australia]]
[[ImagePicha:Feuerreiben.gif|thumb|right|Mwenyeji wa Vanuatu awafundisha watoto kutengeneza moto]]
 
'''Melanesia''' ni eneo la [[Bahari ya Pasifiki]] kaskazini ya [[Australia]]. Ni moja kati ya makundi makubwa matatu ya visiwa vya Pasifiki pamoja na [[Mikronesia]] na [[Polynesia]].
Mstari 6:
Jina lake limeundwa na maneno ya [[Kigiriki]] ya νῆσος ''kisiwa'' na μέλας ''cheusi'' yaani "visiwa vyeusi". Mpelelezi na nahodha Mfaransa [[Jules Dumont d'Urville]] alitunga jina hili 1832 akitaka kutaja tabia ya wakazi wazalendo waliokuwa na rangi nyeusi-nyeusi.
 
== Watu na utamaduni ==
D'Urville alijumlisha wakazi wa visiwa hivi pamoja kutokana na rangi yao. Lakini hali halisi ni watu wa aina mbalimbali. Wengine ni [[Waaustronesia]], wengine [[Wapapua]] na wengine watu kutokana na mchanganyiko wa vikundi hivi viwili.
 
== Nchi za Melanesia ==
[[Fiji]], [[Papua Guinea Mpya]], [[Visiwa vya Solomon]], [[Vanuatu]] na [[Kaledonia Mpya]] (chini ya [[Ufaransa]]) zinajihesabu kuwa sehemu za Melanesia. Kuhusu visiwa vingine mawazo hutofautiana.
 
Mstari 34:
{{mbegu-jio}}
 
[[categoryJamii:Australia na Visiwa vya Pasifiki]]
 
[[ace:Melanesia]]
Mstari 85:
[[simple:Melanesia]]
[[sk:Melanézia]]
[[sl:Melanezija]]
[[sm:Melanisia]]
[[sr:Меланезија]]