Mkoa wa Kati (Kenya) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Historia: Jamii:Mkoa wa Kati, Kenya
Mstari 1:
{| border=1 align=right cellpadding=4 cellspacing=0 width=250 style="margin: 0 0 1em 1em; background: #f9f9f9; border: 1px #aaaaaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;"
|+Mikoa ya Kenya
'''Mkoa wa Kati
Central Province'''
| align="center" colspan="2"|
{| border=0 cellpadding=2 cellspacing=0 style="background:#f9f9f9; text-align:center;"

| align=center colspan=2 style="background:#f9f9f9;" | [[ImagePicha:Kenya-Central.png|200px|Mahali pa Mkoa wa Kati]]

|'''Makao Makuu''' || [[Nyeri]]

|’‘‘Mji Mkubwa’’’ || [[Nyeri]]

|'''Eneo'''

- Jumla
|Nafasi ya 5 kati ya mikoa ya Kenya
13,191 km²

|'''Wakazi'''

- Jumla (2007)  - Msongamano wa watu / km²
|Nafasi ya 4 kati ya mikoa ya Kenya
4,145,000
313 /km²

|'''Lugha mkoani'''
| [[Kikuyu]]
[[Kiembu]]
[[Kimeru]]

| colspan=2 align=right style="padding: 0 5px 0 5px" |

[[ImagePicha:Kenya-relief-map-towns.jpg|thumb|300px|left|Mahali pa Mkoa wa Kati katika [[Kenya]]]]

'''Mkoa wa Kati''' (Central Province) ni mkoa wa [[Kenya]] unaoenea kati ya [[Mlima Kenya]], [[Nairobi]] na Nyahururu. Eneo lake si kubwa lakini kuna msongamano mkubwa wa watu kulingana na mikoa ya jirani kwa sababu ya hali ya hewa na rutba ya ardhi inayolisha watu wengi. Nairobi iko nje ya mkoa.

== Hali ya hewa ==
Hali ya hewa mkoani ni poa hakuna baridi kali kutokana na kimo cha juu. Kuna mvua nyingi kiasi na majira yake ni kuanzia Machi hadi Mei halafu Oktoba hadi Novemba.

== Uchumi ==
Mkoa wa Kati ni kitovu cha kilimo cha Kenya. Kuna kahawa nyingi pia mazao mengine. Maziwa na bidhaa kutokana na maziwa kama vile jibini hutengenezwa hasa mkoani. Soko zake ni pamoja na mji mkuu wa Nairobi ulio nje ya mkoa mwenyewe lakini imepakana nayo.

== Utawala ==
Makao makuuy a mkoa yapo [[Nyeri]]. Kuna wilaya saba kama zifuatazo:

Mstari 64:

== Historia ==
Wenyeji asilia ni hasa [[Wagikuyu]], [[Waembu]] na [[Wameru]] wanoitwa pia watu wa [[G.E.M.A.]] na kushirikiana historia ya pamoja wakitumia lugha ambazo ni karibu. Wanaaminiwa walifika mkoani katika karne ya 17.

Wakati wa ukoloni Waingereza waliona maeneo ya mkoa kufaa kwa walowezi Wazungu kutokana hali ya hewa. Hivyo sehemu kubwa zilitengwa kwa matumizi yao kwa jina la "White Highlands" (Nyanda za juu za Wazungu). Wenyeji wengi waliondolewa mashambani au walivumuliwa tu bila haki.
Mstari 81:

[[Jamii:Mkoa wa Kati, Kenya| ]]
[[CategoryJamii:Mikoa ya Kenya|K]]

[[ar:المحافظة الوسطى (كينيا)]]
Mstari 97:
[[pl:Prowincja Centralna (Kenia)]]
[[pt:Central (Quénia)]]
[[ru:Центральная (провинция Кении(Кения)]]
[[sv:Central (Kenya)]]
[[zh:中部省 (肯尼亚)]]