Hans Bethe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Hans Albrecht Bethe''' (amezaliwa 2 Julai, 1906) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa katika mji wa Strasbourg. Mw...
 
d kuongeza tarehe ya kufariki
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Hans Albrecht Bethe''' (amezaliwa [[2 Julai]], [[1906]] – [[6 Machi]], [[2005]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Alizaliwa katika mji wa [[Strasbourg]]. Mwaka wa 1933 alihamia Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya [[atomu]]. Mwaka wa 1967 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
[[Category:Wanasayansi wa Ujerumani|B]]