Wakati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: war:Oras
d roboti Nyongeza: an:Tiempo; cosmetic changes
Mstari 1:
[[imagePicha:MontreGousset001.jpg|thumb|200px|Saa ya mfukoni]]
 
 
Mstari 6:
Tunaishi katika wakati na tunapanga maisha yetu kufuatana na wakati lakini si rahisi kusema wakati ni kitu gani. Sayansi, fizikia, falsafa na dini zote zina njia mbalimbali za kuangalia na kueleza wakati.
 
== Wakati kama mpito ==
Katika maarifa ya kila siku wakati ni utaratibu wa mfululizo wa matokeo. Tunaweza kuona ya kwamba jambo liliwahi kutokea (wakati uliopita), linaendelea sasa (wakati wa kisasa) na tunatarajia litaendelea katika wakati ujao. Hivyo ndivyo tunatazama maisha yetu tukikumbuka mambo yaliyopita, tunasikia hali au mambo yanayoendelea na kutegemea kuona siku inayokuja.
 
Kwa sababu hiyo kuna usemi kama "wakati unapita" au "wakati unakimbia".
 
== Wakati kisayansi ==
Sayansi hutumia wakati kwa vipimo vingi hata kama haijui wakati mwenyewe ni kitu gani. Imeunda vipimo vya wakati mwenyewe vinavyowezesha kuelewa matokeo na kuyalinganisha.
 
Hapa sayansi inajaribu kuona wakati kama wanda (dimensioni) moja ya ulimwengu pamoja na zile tatu za nafasi ya ulimwengu. Hapa huitwa "wanda ya nne" (the fourth dimension).
 
Tofauti yake na nyanda za nafasi ni ya kwamba wakati una mwendo na mwelekeo.
 
== Vipimo vya kawaida vya wakati ==
Vipimo vya wakati hutumia matokeo yanayorudia mara kwa mara bila mabadiliko.
 
Mstari 28:
 
Vipindi kama [[mwezi]] na [[wiki]] hupanga siku ndani ya kalenda.
[[ImagePicha:ChipScaleClock2 HR.jpg|thumb|200px|Saa atomia]]
== Vipimo vya Kisayansi ==
Sayansi haijaridhika tena na vipimo hivi vya kawaida. Mizunguko ya dunia au siku hazilingani kikamilifu. Hapa sayansi imeondoka katika siku kama msingi wa vipimo bya wakati. Badala yake imechukua muda wa sekunde na kukiliganisha kwa mwendo wa [[atomi]].
 
Katika vipimo sanifu vya kimataifa sekunde imewekwa kama muda wa radidi (periodi) 9,192,631,770 za mnururisho wa atomi ya [[caesi]] ya <sup>133</sup>Cs.
 
== Vipindi vya wakati ==
*[[milenia]] = miaka 1000
*[[karne]] = miaka 100
*[[mwaka]] = miezi 12 = siku 365.25
*[[mwezi]] ≈ wiki 4 ≈ siku 30
*[[wiki]] (juma)= 7 [[day]]s
*[[siku]] = masaa 24
*[[saa]] = dakika 60
*[[dakika]] = 60 sekunde
*[[sekunde]] = 1000 millisekunde
*[[milisekunde]] = 1000 mikrosekunde
*[[mikrosekunde]] = 1000 nanosekunde
*[[nanosekunde]]= 1000 pikosekunde
*[[pikosekunde]]= 1/1,000,000,000,000 sekunde
 
 
== Viungo vya Nje ==
*[http://www.gchart.com/ Google Map]
*[http://www.timeanddate.com/worldclock/ World Clock]
Mstari 56:
*[http://www.hexadecimal-time.com Hexadecimal Time]
 
[[CategoryJamii:Vipimo]]
[[CategoryJamii:Wakati| ]]
 
[[an:Tiempo]]
[[ar:زمن]]
[[ast:Tiempu]]