Zama za Mwangaza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Zama cha Mwangaza''' lilikuwa vuguvugu la kitamaduni katika karne ya 18 huko Barani Ulaya. Ilikuwa na kituo chake huko nchini Ufaransa na kilikuwa kikiongozwa na w...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Zama cha Mwangaza''' lilikuwa vuguvugu la kitamaduni katika [[karne ya 18]] huko Barani [[Ulaya]]. Ilikuwa na kituo chake huko nchini [[Ufaransa]] na kilikuwa kikiongozwa na wanafalsafa wawili ambao ni [[Voltaire]] na [[Denis Diderot]]. Diderot alieneza azimio hili la mwanzamwangza kwa kutumia vitabu vikubwa vya Encyclopédie, kitabu kikubwa cha kwanza cha kumbukumbu.
 
Azimio muhimu zaidi la mwangaza ilikuwa ni imani ya kuamini watu kwa sababu. Watu wote wana uwezo wa kujifikira wenyewe. Kwa hiyo, mtu hapaswi kuamini mwenyewe vitu vya nguvu na madai mengine ya kimamlaka. Watu hawatakiwi hata kuamini hicho ambacho kinafundishwa na kanisa wala kile anachofundisha mchungaji. Azimio lingine ambalo muhimu ni kwamba jamii imeendelea vyema kwamba '''wanachama wake wote, wanavyeo sawa tu hamna ubaguzi, wanashirikiana sawa tu katika usanifu.'''