Zama za Shaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 3:
'''Zama za Shaba''' kilikuwa kipindi ambacho watu walitengeneza vifaa vyao kwa kutumia metali na kuuita [[shaba]]. Shaba ni mchanganyiko wa metali engine mbili: vipande tisa vya shaba kwa kipande kimoja cha bati. Malighafi kama mbao na mawe yalikuwa pia yakitumika kwa zana, lakini shaba ilikuwa nzuri zaidi kwa kukatia na kuchongea, na ilikuwa rahisi sana kutengeneza umbo la kitu. Zama hizi za Shaba hazikuwa kwa kipindi kimoja kila mahali, kwa sababu makundi tofauti ya watu walianza kutumia shaba kwa kipindi tofauti kabisa. Kwa upande wa Magharibi mwa [[Ulaya]], Zama za Shaba ziliisha kunako miaka ya 2000 KK hadi 800 KK. Kwa upande wa [[Mashariki ya Kati]], ilianza takriban miaka elfu moja nyuma.they were too soft.
 
{{stubmbegu-historia}}
 
[[Jamii:Historia ya kale]]
[[Jamii:Vipindi vya kihistoria]]
 
[[af:Bronstydperk]]